Ha ha ha ha ha ha ha ha!Mkuu tupo pamoja! Kwa range sipindui iwe ya kinduu au kike hayo ni makelele tu! Akipita Range Rover hata asiyejua gari lazima aitolee macho! Range tamu has a muungurumo wake,tatizo wabongo mnafikiri kila gari inatengenezwa kwa kuangalia njia zenu! Range si ya vjjn,hii gari kwake lami utaipenda! Kila mtengenezaji huwa anaangalia
soko lake ,sisi huku ubishi tu ,range kwa kwenda kwetu Tarime tena kijijini Nyarero sijui Nyamongo utaitesa tu. Range ni tamu kweli, naomba kiwanda kisife mpaka ninunue yangu!
Mkuu, vipi umeshanunua?Mkuu tupo pamoja! Kwa range sipindui iwe ya kinduu au kike hayo ni makelele tu! Akipita Range Rover hata asiyejua gari lazima aitolee macho! Range tamu has a muungurumo wake,tatizo wabongo mnafikiri kila gari inatengenezwa kwa kuangalia njia zenu! Range si ya vjjn,hii gari kwake lami utaipenda! Kila mtengenezaji huwa anaangalia
soko lake ,sisi huku ubishi tu ,range kwa kwenda kwetu Tarime tena kijijini Nyarero sijui Nyamongo utaitesa tu. Range ni tamu kweli, naomba kiwanda kisife mpaka ninunue yangu!
Ha ha ha ha ha ha upo sahihi kabisa Mkuu!hahahahahah! umenifurahisha! kwaiyo unapima nguvu ya gari kwasababu ililipita ulivyokuwa unasafiri!nyinyi ndio mnasemaga basi fulani linakimbia sana kuliko lingine kwasababu 2lilipita tulipokuwa tunasafiri! unapima gari kama linakimbia kwa kucheki accelation yake kutoka 0-100km/h. SASA CHEKI ACCELATION ZA IYO DISCOVARY 4 YAKO NA LAND CRUISER
DISCOVARY 4 (2013) 3.0 TDV6 0-100Km/h ni 9.60sec WAKATI LAND CRUISER VX V8 (2013) 0-100Km/h ni 8.4sec. acha story za zamani za kitoto
Anunue na hela gan? Wakati dili zote wanapewa ZUMA JKKKT?Mkuu, vipi umeshanunua?
Wengi majimbo yao yako vijijini na barabara mbovu.kwanini range rover haijabamba kisiasa????yaani haijakubalika kwa wanasiasa wengi bongo...huwa najiuliza sana