Kati ya Nissan Qashqai na KIA Sportage utaenda na ipi?

Kati ya Nissan Qashqai na KIA Sportage utaenda na ipi?

1704801600111.png

Nissan Qashqai ni gari stylistic, ila resale value, utakoma.
Utatamani ingekuwa Toyota.
 
Hapo nilipo Bold, Je Toyota ukiweka fluids fake gari haiharibiki?

Hata Toyota Inaharibika ila namwelewa kuwa gearbox ya hizi nissan hazitaki masihara, kuzingua ni dakika chache sana usipoipa matunzo tofauti na Toyota. Na hapa nazungumzia cvt gearbox za nissan xtrail, qashqai, dualis
 
Back
Top Bottom