Kati ya njaa na usingizi kipi unaweza kukivumilia

Kati ya njaa na usingizi kipi unaweza kukivumilia

Sijawahi lakini kila nikijipima kwa kufikiria mie njaa siwezi vumilia aisee. Usingizi naweza sababu hata huwa sina usingizi.
Ila siku 3 nyingi sana ujue, mafaili yanaweza kuchanganyikana na yakataka kutoka kwa pamoja aisee.
 
Back
Top Bottom