The Father of All JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 11,099 Reaction score 13,709 Apr 10, 2025 #1 Wengi wamedhalilishwa na njaa kiasi cha binadamu kugeuka chawa. Wengi wameponzwa na uzwazwa kiasi cha binadamu kumuabudia binadamu. Je kati ya viwili hivi kipi ni bora kuliko mwenzie?
Wengi wamedhalilishwa na njaa kiasi cha binadamu kugeuka chawa. Wengi wameponzwa na uzwazwa kiasi cha binadamu kumuabudia binadamu. Je kati ya viwili hivi kipi ni bora kuliko mwenzie?
edon66 JF-Expert Member Joined Feb 11, 2023 Posts 3,756 Reaction score 11,435 Apr 10, 2025 #2 Father of All said: njaa kiasi cha binadamu kugeuka chawa. Click to expand... Kaka njaa c kukugeuza Chawa bali ,njaa inaweza ikakufanya ukatoa roho ya mtuu .ndio maana Kuna ule msemo usemao ADUI YAKO MUOMBE NJAA. uzwazwa unaweza ukaukataa ukiwa una njaaa ..ila njaa uwezi kuikata hata ukiwa zwazwa
Father of All said: njaa kiasi cha binadamu kugeuka chawa. Click to expand... Kaka njaa c kukugeuza Chawa bali ,njaa inaweza ikakufanya ukatoa roho ya mtuu .ndio maana Kuna ule msemo usemao ADUI YAKO MUOMBE NJAA. uzwazwa unaweza ukaukataa ukiwa una njaaa ..ila njaa uwezi kuikata hata ukiwa zwazwa