Kati ya nyama ya mbuzi, ng'ombe, kuku na ' kitimoto ', ipi ni nyama pendwa sana duniani kote ?

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,587
Wanabodi, poleni na majukumu ya maisha!

Wewe unapenda nyama ipi kati ya kuku, ng'ombe, mbuzi na kitimoto ipi ni nyama pendwa sana kwako na huko duniani ulikopita pita?
 
nyama ya chura ni tamu alafu inafuata nyama UA kiti nyuma
 
Bata ananivutia ananivutia mwedo.πŸ˜‹

Ndukiiiii πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
UKiacha mambo ya imani mbuzi inaliwa na watu wengi zaidi na inaooonekana inapendwa zaidi.
 
Hivi nan alishawah dondosha mbuzi ubavu na chupa ya bakabi? Hatari mazee

Mbuzi mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…