Kati ya nyama ya mbuzi, ng'ombe, kuku na ' kitimoto ', ipi ni nyama pendwa sana duniani kote ?

Kati ya nyama ya mbuzi, ng'ombe, kuku na ' kitimoto ', ipi ni nyama pendwa sana duniani kote ?

Inategemeana na mapishi!

Niliwahi kula tofari la nyama ya ng'ombe ya kusagwa ni tamu sana kuliko nyama nyingine nilivyohisi wakati nikila siku hiyo.

Haya ma nyamanyama nadhani ni ujuzi wa mapishi na maandalizi tu. Hakuna iliyotamu kuliko nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wapi inapopatikana mijusi ya kuchoma na paka wa kubanika?
 
Hahaaaaa.....pork bell and ribs ndo mpango mzima.
 
Eeendiii ze winaaa iziiii.....ze kitiiiiii!!!...makofi kwake
 
[emoji124]
Screenshot_20180914-203709.jpg
 
me napenda Sana nyama ya popo
na nyama ya bundi pia ni tamu Sana
 
Back
Top Bottom