Kati ya Nyumbu na pimbi Nani Ni boya sana

Kati ya Nyumbu na pimbi Nani Ni boya sana

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Wakuu Nina swali hapa Kati ya Hawa wanyama wawili nyumbu na pimbi Nani amekaa kiwaki sana(kifaler faler)
images%20(9).jpeg
images%20(10).jpeg
 

Attachments

  • images%20(10)~2.jpeg
    images%20(10)~2.jpeg
    23 KB · Views: 38
  • images%20(10)~2.jpeg
    images%20(10)~2.jpeg
    23 KB · Views: 33
Ndege John ni moja ya ndege walio kaa kifaler faler² na kisegnesegnge ×100 yq nyumbu na pimbi
 
Ongezea na kenge alafu na wewe ukae katikati,kwa pamoja mtakuwa mafala.
 
Haha..mkuu nyumbu ni hatari ..yani hata mimi mtu akiniita nyumbu tunaweza pigana....i
 
Nyumbu anaona ishara ya mamba bado anajipeleka kwenye maji na kupoteza maisha . Ni fala kweli kweli !! Yanashindwa hata kuungana na kumkabidhi simba ! Usiniite nyumbu !!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom