Kati ya Paul Makonda na Richard Kasesera nani anaongoza kwa kuwa na usanii, sifa na mashauzi?

Kati ya Paul Makonda na Richard Kasesera nani anaongoza kwa kuwa na usanii, sifa na mashauzi?

Rich mwana sana tena mwana ambae yuko real namuelewa sana tukikutana maeneo anavua cheo mnapiga mishe wote mnakua sawa kwa wanaoishi Stone town pale watakua wananielewa achana na muigizaji Bashite/Paul ambae anapenda sifa tu.
 
Kasesera mtu poa sana, vituko vyake ni vya kawaida tu. Nyie wanaume wa dar endeleen kupambana na zero wenu mtuachie DC kipenz cha watu wa iringa
 
Kasesera ni muuza sura, Bashite ni jambazi
ef33a60bd938c3a5d21efc216dbdf56e.jpg
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Wote waigizaji na wanapenda kick. Baada ya kupata vyeo vya kuteuliwa ndio wanajituma nyuma ya pazia ni mafisadi. Huyi mmoja kwenye kamati ya kanisa amepiga mpunga wa kutosha akaingia kwenye ngo ya ukimwi kote ramani za pesa tuu
 
Back
Top Bottom