RASCO BOY
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 428
- 485
Mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Chelsea leo tunashuka Dimbani kupambana na Newcastle ushindi ni lazima.
Nachojiuliza ni kwamba kati ya PEDRO na WILLIAN nani aanze na nani asubiri ikiwa mwenye nyumba Leo anaanzishwa si mwingine bali ni EDEN HAZZARD. !!
Mtazamo wangu.
PEDRO..ni mzuri mwepesi mjanja na anajua kufunga hasa streik anapopotea yeye uibuka na kutikisa nyavu
WILLIAN..ni mzuri anakasi na nguvu pia anauwezo wa kukaa na mpira anafosi mashambulizi n.k
Kati ya hawa wawili kila mmoja ana Ubora wake na mapungufu yake. Mimi kwa upande wangu naamini kocha SARRI atamuanzisha PEDRO na kumuweka WILLIAN bench
Je wewe mtazamo wako ni upi kati ya hawa jamaa wawili......
Sent using Jamii Forums mobile app pkease Change my Name to mkuu wa kaya