Jambazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 16,648
- 18,742
No.5: Rapper Birdman, mmoja ya members wa YMCMB. Utajiri wake dola Mil. 150. Mwaka 2014 alikuwa nafasi ya nne kwa utajiri wa dola 160!
No.4: Rapper 50 Cent yuko namba nne, utajiri wake ni dola Mil.155. Ripoti ya mwaka 2014 ilionesha alikuwa nafasi ya 5 na utajiri wake ulikuwa dola Mil. 140, kapanda nafasi moja juu!!
No.3: Ni Jay Z mwaka jana alikuwa nafasi hiyo hiyo ya tatu, utajiri wake ulikuwa sawa na dola Mil. 550 na mwaka huu kiwango ni hicho hicho, labda tusubiri kuona account zake benki zikituna zaidi baada ya kuzindua biashara ya Tidal !!
No.2: Dr. Dre, jamaa ni rapper, producer na mjasiriamali pia !! Biashara ya headphone za Beats by Dre ni kitu kingine kikubwa kilichomuingizia pesa nyingi sana kabla hajauza mrad huo kwa Kampuni ya Apple.Utajiri wake ni dola Mil.700 mwaka jana alikuwa dola Mil.550
No.1: Pdidy Hajatoka kwenye hii nafasi hata mwaka 2014 alikuwa kwenye hiyo nafasi pia! Pdidy ana utajiri wa dola Mil 735! Mwaka jana alikuwa na utajiri wa $ Mil 700