Kati ya Pididy na Dr Dre nani anaeogoza kwa utajiri?

Kati ya Pididy na Dr Dre nani anaeogoza kwa utajiri?

Jambazi

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
16,648
Reaction score
18,742
No.5: Rapper Birdman, mmoja ya members wa YMCMB. Utajiri wake dola Mil. 150. Mwaka 2014 alikuwa nafasi ya nne kwa utajiri wa dola 160!

No.4: Rapper 50 Cent yuko namba nne, utajiri wake ni dola Mil.155. Ripoti ya mwaka 2014 ilionesha alikuwa nafasi ya 5 na utajiri wake ulikuwa dola Mil. 140, kapanda nafasi moja juu!!

No.3: Ni Jay Z mwaka jana alikuwa nafasi hiyo hiyo ya tatu, utajiri wake ulikuwa sawa na dola Mil. 550 na mwaka huu kiwango ni hicho hicho, labda tusubiri kuona account zake benki zikituna zaidi baada ya kuzindua biashara ya Tidal !!

No.2: Dr. Dre, jamaa ni rapper, producer na mjasiriamali pia !! Biashara ya headphone za ‘Beats by Dre’ ni kitu kingine kikubwa kilichomuingizia pesa nyingi sana kabla hajauza mrad huo kwa Kampuni ya Apple.Utajiri wake ni dola Mil.700 mwaka jana alikuwa dola Mil.550

No.1: Pdidy Hajatoka kwenye hii nafasi hata mwaka 2014 alikuwa kwenye hiyo nafasi pia! Pdidy ana utajiri wa dola Mil 735! Mwaka jana alikuwa na utajiri wa $ Mil 700
 
Hatare
.hivi hii ni list ya wana hip hop wenye utajiri mkubwa zaidi au ni overall ya wanamuzik wote duniani?
 
Hatare
.hivi hii ni list ya wana hip hop wenye utajiri mkubwa zaidi au ni overall ya wanamuzik wote duniani?


Hiyo ni hip hop tu mzee.
Ukija kwenye overall unaweza kukuta majina usiyoyajua.
 
Dr Dre amempita vibaya kwa pesa, ndio anaongoza kwa wanamuziki duniani
Jamaa anamadili mengi ya biashara pia
 
wakuu puff dady aka p.didy ni habari nyingine ana mkwanja hatareee
 
Dr Dre anatishhaaa jamaa kamtupa mbali P dy!
 
Jambazi usisahau deal la headphones alilioza kwa Apple $3b
 
USA baby:usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2:
 
Pdidy si yumo humu?labda atuambie mwenyewe kama anazidiwa mkwanja na dr dre
 
Back
Top Bottom