Jamani cjui hata niseme nini kwa jinsi mlivyonirudisha kwenye khali ya kawaida HUSNINYO,KLOROKWINI,HASHYCOOL ECT.ukweli jana nilipa wakati mugum sana hasa baada ya kusoma comment za wa2.nashukuru kwa kunipa moyo wa kuendelea kuepo humu jamvini niliamini ckua na njia nyingine zaidi ya kuwaplease na thanks kwa kunisamehe.Pia husninyo na klorokwini nimeyapenda majibishano yenu kweli humu jamvini kuna changamoto nyingi na burudani kweli kuwemo humu.Uclegeze endelea kukaza uzi nawapenda jamani mungu awape moyo huo wa kusamehe cku zote za maisha yenu nje ya jamvi pia humu jamvini.
Yaani wewe huku nikutaka kuanzisha thread au kitu gani?? Hili ni swali kweli la kuuliza watu??
Kwani wewe ulivyokuwa unaleta hiyo thread ulikuwa unataka watu wasichangie??
Watu wengine bana sijui mkoje. PJ kakwmabia ukweli umefilisika kimawazo wewe tunakuonea huruma aahh
Nilikuwa sijaona hii post yako. Utakomaa tu ukiwa humu na usirudie tena umesikia mtoto mzuri eehhh???
DA bwana, kang'ata halafu kapuliza :laugh::laugh::laugh:
Anyway my friend Kokudo, dont expect pipo to answer as you expect
Kuna baadhi ya watu hapa wapo kwa ajiri ya kugawanya wenzao, kujenga makundi baina ya wana JF, kudharau comment za wengine, na wengine ndo kabisaaaa haoni mtu mwingine wa ku-share nae mawazo zaidi ya mtu wake
Matokeo yake mtu anafundishwa kwa kupewa vidongo na kejeli
Tumepitia njia hiyo ndugu
You have to be strong in your mind, dont disappoint yourself
Halafu wewe umenianza asubuhi leo naona haya mpaka jioni lazima zipigwe leo!!!
Hakuna makundi wewe mbona unaanzisha mambo mabaya humu bwana hebu acha kumtisha mtoto wa watu.
Kokudo usimsikilize CPU anakudanganya umesikia??
We anzisha tu thread kibao usichoke!!!
Ha ha ha ha ha . . . . DA mimi nina fimbo wewe hauna sijui utazipigaje?? . . lol
Ukiona nakufwata-fwata ujue "SIMBA MWENDA POLE . . . . . "
Jamani dena yani mpaka nimeona aibu umenidekeza jaman asante denaHalafu wewe umenianza asubuhi leo naona haya mpaka jioni lazima zipigwe leo!!!
Hakuna makundi wewe mbona unaanzisha mambo mabaya humu bwana hebu acha kumtisha mtoto wa watu.
Kokudo usimsikilize CPU anakudanganya umesikia??
We anzisha tu thread kibao usichoke!!!
Hizi handbag za kina dada hizi!!?
Je ni 7bu zipi zimepelekea post hii kuchangiwa?naomba kuwakilisha.
WANACHANGIA SABABU ZIMEBEZI KWENYE NGONO NA SIASA CHOCHEZI (kwa ujumla post zinazochangiwa humu JF) ANDIKA KUHUSU ...ELIMU....UCHUMI...MAENDELEO...MALEZI....UZALENDO UONE KAMA ZITACHANGIWA VYA KUTOSHA (just do that simple research)
Ha ha ha ha ha ha ha leo umenichekesha kweli tena kwa mara nyingine haya bana
"sina neno mimi kwa kuwa najua huyo ni mzazi mwenzio mpenzi maua?? Iko sikuuuu mpenzi maua!! aaa,...................
Jamani dena yani mpaka nimeona aibu umenidekeza jaman asante dena
kokudo , ukiona na sredi hili linachangiwa sana na linakukera unaweza ukamtumia PM mod alifunge (only if interested). ipo hii option.
ni mimi klorokwini a.k.a "kata umeme, eneza furaha aibu kwa tanesco"
ntakuja kwa wazazi wako mamaaaaaaaaa
penzi mauaaaaaaaaaaa
na barua ya uchumba mie
penzi upepoooo
tufunge ndoa na weweeeeeeee
penzi mauaaaaaaa . . . sina neno mimi (neemaaaaa) kwakuwa najuaaaa (ooooooh) , huyo ni mzazi mwenzio . . . . .
penziiiii mauaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
ipo sikuu eeeeeeeeh
penzi upepoooooooooooooooo
ntakuja kwa wazazi wako mamaaaaaaaaa
penzi mauaaaaaaaaaaa
na barua ya uchumba mie
penzi upepoooo
tufunge ndoa na weweeeeeeee
penzi mauaaaaaaa . . . sina neno mimi (neemaaaaa) kwakuwa najuaaaa (ooooooh) huyo ni mzazi mwenzio . . . . .
penziiiii mauaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
ntoontooooo talilliiiiiiiiii . . . . . . ntoontooooo talilliiiiiiiiii . . . . .ntoontooooo talilliiiiiiiiii

tuliluuuuuuuuuu tuliluuuuuuuuuuu . . . . tolilooooooo tu
papaaalaaaaaaaaaaaaa. . . .. puuuuaaaaaaaaaaaaaaaaaa paliiiii paaaaliiiiii
ngoja nijikumbushe daaaah :clap2::clap2:
good observation and question
kwa kweli hata mimi nimenza kuyaona haya mambo.
lakini pia kwa muda wangu mfupi hapa JF nimegundua pia nguvu ya majina fulanifulani. kuna watu wakiweka chochote hata mguno tu"mmh" na kuacha , utakuta watu wote wanahamia kwenye thread yake na anapewa na thanks nyingi tu!
hahahhapa ndipo magreat thinkers wanapopatikana. thenks for everything though

Huwezi kuondoa..ni kama 'the popular kid at school' hata akifanya kitu cha kawaida au cha kijinga anaonekana wa maana!Hapa kuna the IN group na watu wengi tu wanataka wawe washiriki na waliobaki ni OUT group!Nimeshaona mtu anaanzisha thread inakaa masaa haichangiwi ila mtu wa IN group hata akiandika CRAP tu wengine ndo wanaanza kuchangia!ubaguzi ndani ya JF . dah! hii ni balaa kwakweli. sasa unashauri nini kifanyike ili hii hali iondoke?
Huwezi kuondoa..ni kama 'the popular kid at school' hata akifanya kitu cha kawaida au cha kijinga anaonekana wa maana!Hapa kuna the IN group na watu wengi tu wanataka wawe washiriki na waliobaki ni OUT group!Nimeshaona mtu anaanzisha thread inakaa masaa haichangiwi ila mtu wa IN group hata akiandika CRAP tu wengine ndo wanaanza kuchangia!
Lizzy mie unajua sijagundua mwenzio ndo leo nimefumbuliwa nilikuwa sijajua aisee haya mambo ya watanzania yatakwisha lini??