unaloliongea ni la kweli kabisa, mimi nimekuwa nikipost threads za developmets, innovations or education points of view lakini cha kushangaza hao great thinkers huwa wala hawa changia hata kidogo. Lkaini leo weka ya Rostam,Lowasa ..utaona jinsi watakavyochangia hata wasilale usiku kucha.
Haya ni matatizo amabo lazima yaangaliwe tena kwa ukaribu sana , sio uongo bali ni ukweli kabisa.
Wnasiasa wapo tu na maendeleo ya nchi yeyote ile kama wanachi wake wamekalia kulaumu na kulalamika kwa kila kitu eti wakitegemea kufanyiwa na serikali yao, shau tena sahau kabisa.
Viongozi wanakuwepo kwa ajili ya kutoa muongozi tu bali maendeleo yanaletwa individually .
RA hata akiondoka sidhani matatizo yetu tuliyonayo yatabadilika kama sio mfumo mzima usipobadilika, kuna tatizo la wananchi na viongozi .
K wa matatizo ya TZ yako pande zote mbili wala sio upande moja tu. sisi tunapenda sana kuangalia upande mmoja na kujisahau upande wetu wenyewe.
Tumetembea nchi nyingi za nje na tumekaa nchi mbali mbali na tunaona serikali zao zinavyofanya , si kwamba kila kitu kinafanya na serikali..wala...