Kati ya Post zangu nilizopost hii imepata wachangiaji wengi

Huwezi kuondoa..ni kama 'the popular kid at school' hata akifanya kitu cha kawaida au cha kijinga anaonekana wa maana!Hapa kuna the IN group na watu wengi tu wanataka wawe washiriki na waliobaki ni OUT group!Nimeshaona mtu anaanzisha thread inakaa masaa haichangiwi ila mtu wa IN group hata akiandika CRAP tu wengine ndo wanaanza kuchangia!

I can see clearly now Lizzy, thanks
 
Jamani cjui hata niseme nini kwa jinsi mlivyonirudisha kwenye khali ya kawaida HUSNINYO,KLOROKWINI,HASHYCOOL ECT.ukweli jana nilipa wakati mugum sana .

usijali mpendwa.
Nafurahi umekuwa imara kuendelea kuperuzi. Wengine huwa wanajificha kwa muda wakiona mambo yamehara.
 
Kokudo so far hii ndo thread tuliyo changia zaid kama sikosei
 
Miss Judith

Hii ya kweli?? Mie nilikuwa sijagundua hebu ngoja nianze uchunguzi dear asante kwa taarifa mpendwa
Kwa hyo mnakubaliana na mimi?kuhusu hili lakini huku c kama face1000 yani kule ndo full ubaguzi wa kufa people
 
Nilidhani niko peke yangu niliyekuwa nawaza hivi . . . lol
Mbaya zaidi hao watu ndio wanaitwa GREAT THINKERS sisi wengine ndo kama hivyo . . . thread uliyoianzisha wewe inaonekana booooomu, ngoja thread hiyo hiyo ianzishwe na HAYO MAJINA, watu vuluuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu kama kuku kaona mtama, thanks 70, sifa kedekede, mabusu ndo usiseme hayana idadi . . . .
Kama kuku kaona mtama we acha 2 mkubwa uvumilivu ndo kila ki2 hapa jamvini
 
usijali mpendwa.
Nafurahi umekuwa imara kuendelea kuperuzi. Wengine huwa wanajificha kwa muda wakiona mambo yamehara.
Uimara wangu ni pamoja na juhudi zako dia bila ww hapa ilikua ni nduki mbaya thanks husninyo am proud of u.
 
unaloliongea ni la kweli kabisa, mimi nimekuwa nikipost threads za developmets, innovations or education points of view lakini cha kushangaza hao great thinkers huwa wala hawa changia hata kidogo. Lkaini leo weka ya Rostam,Lowasa ..utaona jinsi watakavyochangia hata wasilale usiku kucha.
Haya ni matatizo amabo lazima yaangaliwe tena kwa ukaribu sana , sio uongo bali ni ukweli kabisa.
Wnasiasa wapo tu na maendeleo ya nchi yeyote ile kama wanachi wake wamekalia kulaumu na kulalamika kwa kila kitu eti wakitegemea kufanyiwa na serikali yao, shau tena sahau kabisa.
Viongozi wanakuwepo kwa ajili ya kutoa muongozi tu bali maendeleo yanaletwa individually .
RA hata akiondoka sidhani matatizo yetu tuliyonayo yatabadilika kama sio mfumo mzima usipobadilika, kuna tatizo la wananchi na viongozi .
K wa matatizo ya TZ yako pande zote mbili wala sio upande moja tu. sisi tunapenda sana kuangalia upande mmoja na kujisahau upande wetu wenyewe.
Tumetembea nchi nyingi za nje na tumekaa nchi mbali mbali na tunaona serikali zao zinavyofanya , si kwamba kila kitu kinafanya na serikali..wala...
WANACHANGIA SABABU ZIMEBEZI KWENYE NGONO NA SIASA CHOCHEZI (kwa ujumla post zinazochangiwa humu JF) ANDIKA KUHUSU ...ELIMU....UCHUMI...MAENDELEO...MALEZI....UZALENDO UONE KAMA ZITACHANGIWA VYA KUTOSHA (just do that simple research)
 
unaloliongea ni la kweli kabisa, mimi nimekuwa nikipost threads za developmets, innovations or education points of view lakini cha kushangaza hao great thinkers huwa wala hawa changia hata kidogo. Lkaini leo weka ya Rostam,Lowasa ..utaona jinsi watakavyochangia hata wasilale usiku kucha.
Haya ni matatizo amabo lazima yaangaliwe tena kwa ukaribu sana , sio uongo bali ni ukweli kabisa.
Wnasiasa wapo tu na maendeleo ya nchi yeyote ile kama wanachi wake wamekalia kulaumu na kulalamika kwa kila kitu eti wakitegemea kufanyiwa na serikali yao, shau tena sahau kabisa.
Viongozi wanakuwepo kwa ajili ya kutoa muongozi tu bali maendeleo yanaletwa individually .
RA hata akiondoka sidhani matatizo yetu tuliyonayo yatabadilika kama sio mfumo mzima usipobadilika, kuna tatizo la wananchi na viongozi .
K wa matatizo ya TZ yako pande zote mbili wala sio upande moja tu. sisi tunapenda sana kuangalia upande mmoja na kujisahau upande wetu wenyewe.
Tumetembea nchi nyingi za nje na tumekaa nchi mbali mbali na tunaona serikali zao zinavyofanya , si kwamba kila kitu kinafanya na serikali..wala...

Most of pipo in here are GREAT CHOOSERS . .. . .:roll:
 
Miss Judith

Hii ya kweli?? Mie nilikuwa sijagundua hebu ngoja nianze uchunguzi dear asante kwa taarifa mpendwa

ya kweli kabisa mpendwa, sina sababu ya kuzua jambo we chunguza tu utaona

hii post yako mke mtarajiwa wa mwakani miss wa judith nimeisoma kwa makini na unaonekana kuzungumzia habari ya ubaguzi ndani ya JF . dah! hii ni balaa kwakweli. sasa unashauri nini kifanyike ili hii hali iondoke?

mpendwa, nafikiri anti Lizzy kafafanua vizuri kuwa ni natural. japo si vyema kuwa na pessimistic view of life kila wakati, but some facts are inevitable in life. kuna role models, kuna watu wanafahamiana hapa na wana[owasiliana kupitia thread ni kama mawasiliano ya email so hao wanapochangiana mada ni sawa na kuchat kupitia email. halafu kuna wengine wana interest moja japo hawajawahi kukutana wamejikuta wakiwa kama marafiki, halafu kuna wageni kabisa na forum wanaojiunga kila siku, na kuna wengine japo ni wenyeji lakini ni wasomaji zaidi ya wachangiaji yaani hata akiandika ni kidogo sana na hutoa jibu ama mchango mfupi sana hata kwa suala tata kabisa.

sasa katika mchanganyiko wa aina hiyo lazima vitu kama hivi vitatokea. muhimu kama una maoni usiwanyime wanajamvi, usiwe mchoyo hata wasipochangia, watsoma na maelezo yatakuwa yamewafikia. ukiona mchango una manufaa hata kama si kwako ila kwa mwingine toa shukrani kama feedback na wote tunajua umuimu wa feedback katika mawasiliano.

Huwezi kuondoa..ni kama 'the popular kid at school' hata akifanya kitu cha kawaida au cha kijinga anaonekana wa maana!Hapa kuna the IN group na watu wengi tu wanataka wawe washiriki na waliobaki ni OUT group!Nimeshaona mtu anaanzisha thread inakaa masaa haichangiwi ila mtu wa IN group hata akiandika CRAP tu wengine ndo wanaanza kuchangia!

nashukuru dear kuwa na wewe umeisjhaona hali hii. nashukuru pia kwa ufafanuzi mzuri. be blessed mpendwa

Nilidhani niko peke yangu niliyekuwa nawaza hivi . . . lol
Mbaya zaidi hao watu ndio wanaitwa GREAT THINKERS sisi wengine ndo kama hivyo . . . thread uliyoianzisha wewe inaonekana booooomu, ngoja thread hiyo hiyo ianzishwe na HAYO MAJINA, watu vuluuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu kama kuku kaona mtama, thanks 70, sifa kedekede, mabusu ndo usiseme hayana idadi . . . .

well observed mkuu
 
Hakuna jipya chini ya jua....
 
mamushka come back . . . :roll:
 
Back
Top Bottom