Kati ya prado Tx na landcruiser V8 ninunue gari gani?

Xubzero

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2018
Posts
243
Reaction score
413
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba mnisaidie au mnipe ushauri kati ya gari hizo mbili ni nunue IPI? In term ya mwonekakano etc
 
Yaani ni sawa na mtu kuuliza kati ya Tecno na Note 10 ninunue sim gan??? Kalime kwanza hayo matikiti ukivuna kanunua ist.
..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe hata wewe umeshtukia kama jamaa ni msanii Fulani hiviiii!!!
Mtu ambaye anauwezo wa kumiliki hayo Magari hawezi kuuliza eti ninunue gari gani Kati ya hizi
 
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba mnisaidie au mnipe ushauri kati ya gari hizo mbili ni nunue IPI? In term ya mwonekakano etc
Nunua Ist utembelee kama kweli unazo pesa, hizo za ziada wasaidie maskini kijijini kwenu utapata faida kuliko kununua V8.
Utu wa mtu haupimwi kwa ina ya gari anayomiliki, bali jinsi jamii itakavyokupokea
 
Nimeshaendesha magari mengi sana ya Toyota ila sijaona tofauti kati ya Prado na Spacio... In terms of comfort na engine performance... Kununua Prado ni kupoteza pesa yako.. Ni bora tu ununue Rav 4!
Or put it this way.
Ist ina 1350cc na ina uzito wa kg 1,000 bila abiria.. Prado ina 2700 cc na uzito wa kg 2000.
So in theory, you would expect these two cars to perform more or less equally based on engine displacement vs body weight.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…