Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba mnisaidie au mnipe ushauri kati ya gari hizo mbili ni nunue IPI?
hahaha sina njaaa aseee kama wewe huenda hujapata mlo leoYaani ni sawa na mtu kuuliza kati ya Tecno na Note 10 ninunue sim gan??? Kalime kwanza hayo matikiti ukivuna kanunua ist.
..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe hata wewe umeshtukia kama jamaa ni msanii Fulani hiviiii!!!Yaani ni sawa na mtu kuuliza kati ya Tecno na Note 10 ninunue sim gan??? Kalime kwanza hayo matikiti ukivuna kanunua ist.
..
Sent using Jamii Forums mobile app
Umekula lakini?Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba mnisaidie au mnipe ushauri kati ya gari hizo mbili ni nunue IPI? In term ya mwonekakano etc
Jibu ulichoulizwa habari za kujifanya unanijua mm!!! HazipoNifollow hinstagram,Twitter na Facebook kwa jina pnesta kamala
Nunua Ist utembelee kama kweli unazo pesa, hizo za ziada wasaidie maskini kijijini kwenu utapata faida kuliko kununua V8.Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba mnisaidie au mnipe ushauri kati ya gari hizo mbili ni nunue IPI? In term ya mwonekakano etc
Poa,Sijala
Nifollow hinstagram,Twitter na Facebook kwa jina pnesta kamala