Kati ya prado Tx na landcruiser V8 ninunue gari gani?

Kuna tangazo sijui la Cassino gani wameweka zawadi ni Lexus L570 kwa mshindi. Acheze hata lottery hii kwenye Casino.

kwanza mpaka wampe mtu lexus l570 wanakuwa washarudisha mara tano hizo hela zao, mtu akupe gari ya dola 87,000+ ivi ivi kwakuwa umemfanyia kazi gani ? 🤣🤣🤣🤣🤣


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba mnisaidie au mnipe ushauri kati ya gari hizo mbili ni nunue IPI? In term ya mwonekakano etc
kama uko seriaz,take time kujifunza magari..hapo unafananisha ardhi na mbingu....hiyo Prado ifananishe na Surf....L/C itoe kabisa
 
Huo uzi hata mimi naukumbuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nilivyomuelewa huyo ndugu, atakuwa alimaanisha prado ile J150 na v8 alimaanisha ile J200 japo hiyo prado ni takataka kwa hiyo v8..



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja niongezee gari zingine za kiduko Lilo
Benz,BMW,Ferrari, Lamborghini, Ruf,Aston Martin
@kiduku lilo hawezi nunua izo taka taka za Mjapani yeye gari zake ni za mwingereza na mmarekani Minyama kama Ford Ranger, GMC, Chevrolet, Land rovers, Rolly Royce

Struggle For Success!
Hapa Kazi tu.
 
Cruiser bhana ina heshma yake prado hazina tena hashma kwanza niza wanawake
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba mnisaidie au mnipe ushauri kati ya gari hizo mbili ni nunue IPI? In term ya mwonekakano etc
 
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba mnisaidie au mnipe ushauri kati ya gari hizo mbili ni nunue IPI? In term ya mwonekakano etc
PRADO TX kuna zenye CC 3000 hivyo kwa matumizi ya mafuta hata service hazina gharama sana. V8 najua ni CC 4600 hivyo jipange vizuri kwenye gharama za uendeshaji
 
Biashara ya kulazimisha wengine kusaidia maskini ni ushamba na umaskini, kusaidia kunatoka ndsni ya moyo na sio kushauriwa.
Isitoshe maskini wa Tz dio wakusaidia utegemee mrejesho +, ukisaidia mtu jiweke mbsli naye kwani hawachelewi kukuumiza.
Maskini watakuwepo siku zote ila Yy hatakuwepo siku zote

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…