toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
we mtu anaweza hudumia gari v8 atashindwa nini mkuu ? 🤣🤣🤣🤣
Sent from my iPhone using JamiiForums
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama anamiliki pesa za madafu na ndimu itakuwa ngumu kuhudumia.
Kuna tangazo sijui la Cassino gani wameweka zawadi ni Lexus L570 kwa mshindi. Acheze hata lottery hii kwenye Casino.
Kama anamiliki pesa za madafu na ndimu itakuwa ngumu kuhudumia.
Huo mdude si mchezo ukisikia anasa ndio hiyo Lx 570.
we mtu anaweza hudumia gari v8 atashindwa nini mkuu ? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahah kweli hashindwi kitu huyo mzee baba.
Akiona hali ni tete aende kwa ndg zake GX 470
Sent using Jamii Forums mobile app
kama uko seriaz,take time kujifunza magari..hapo unafananisha ardhi na mbingu....hiyo Prado ifananishe na Surf....L/C itoe kabisaWakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba mnisaidie au mnipe ushauri kati ya gari hizo mbili ni nunue IPI? In term ya mwonekakano etc
Sea cliff casinoKuna tangazo sijui la Cassino gani wameweka zawadi ni Lexus L570 kwa mshindi. Acheze hata lottery hii kwenye Casino.
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba mnisaidie au mnipe ushauri kati ya gari hizo mbili ni nunue IPI? In term ya mwonekakano etc
Nunua Ist utembelee kama kweli unazo pesa, hizo za ziada wasaidie maskini kijijini kwenu utapata faida kuliko kununua V8.
Utu wa mtu haupimwi kwa ina ya gari anayomiliki, bali jinsi jamii itakavyokupokea
Huo uzi hata mimi naukumbukaHahah yule chenga tu aliweka hio thread kipindi hicho alikua hajaanza kujimwambafy akasema gari inagonga chini ni grande mark 2 na yeye anaishi tabata anatafuta fundi wa pande hizo.
Baadae akajisahau akaanza kujimwambafy wadau wakafufua kaburi akajifanya ku-edit uzi ikawa too late,hahah.
Cheki kwny thread alizozianzisha hio thread utaikuta mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nilivyomuelewa huyo ndugu, atakuwa alimaanisha prado ile J150 na v8 alimaanisha ile J200 japo hiyo prado ni takataka kwa hiyo v8..Unajua tungekuwa tunaweka na picha wazione gari wataelewa unajua nilichogundua watu wengi hawajui vx v8 ni ipi, waambie ile gari anayotembelea magufuli ndio hiyo sasa alafu waambie ndio zile nyeusi zinakuwaga zipo sambamba na gari ya mkuu, utafananisha na prado ? Tuwe wakweli ? watu basi wafanye hata research aisee wakaangalie bei alafu watajua tunasema nini, wanadhani vx v8 ni mchezo mchezo hata range zingine hazigusi price mzee...
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hakuna gari inayoitwa Landcruiser V8 bali kuna gari inaitwa VDJ200 au UZJ200
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiduku lilo anasemaje kwani
@kiduku lilo hawezi nunua izo taka taka za Mjapani yeye gari zake ni za mwingereza na mmarekani Minyama kama Ford Ranger, GMC, Chevrolet, Land rovers, Rolly Royce
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba mnisaidie au mnipe ushauri kati ya gari hizo mbili ni nunue IPI? In term ya mwonekakano etc
PRADO TX kuna zenye CC 3000 hivyo kwa matumizi ya mafuta hata service hazina gharama sana. V8 najua ni CC 4600 hivyo jipange vizuri kwenye gharama za uendeshajiWakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba mnisaidie au mnipe ushauri kati ya gari hizo mbili ni nunue IPI? In term ya mwonekakano etc
Nifollow hinstagram,Twitter na Facebook kwa jina pnesta kamala