Kati ya prado Tx na landcruiser V8 ninunue gari gani?

Unamaanisha mkuu?
Hivi spacio ina ulinganifu gani na V8?

Kuna watu mna matusi sana
Nimeshaendesha magari mengi sana ya Toyota ila sijaona tofauti kati ya Prado na Spacio... In terms of comfort na engine performance... Kununua Prado ni kupoteza pesa yako.. Ni bora tu ununue Rav 4!
Or put it this way.
Ist ina 1350cc na ina uzito wa kg 1,000 bila abiria.. Prado ina 2700 cc na uzito wa kg 2000.
So in theory, you would expect these two cars to perform more or less equally based on engine displacement vs body weight.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katavi hii ndio itakufaa.
 
Attachments

  • images (6).jpeg
    images (6).jpeg
    9.2 KB · Views: 13
Kimsingi @Kifuku lilo ni intertainer mzuri tu, kuna uwezekano 90% hayo sio maisha yake halisi lakini kuna somo huwa anatoa kuhusu maisha. Napenda anayoyazungumzia, natamani vijana tufikie level hiyo kimaisha ili tuache kusindikiza wengine.

Mfano mzuri
Huyu mleta uzi kaleta uzi mzuri kabisa lkn ona dhihaka anazofanyiwa.
Wengi wa wanaofhihaki sio wenye nazo bali ni hahehohe.
Mtu ana uliza umekula?
Mtu snasema ist/spacio na tx, v8 ni sawa!
Hizi ni akili au matope?
Akija kwenye huu uzi atabreakdown jinsi tulivyopoor na mawazo yetu na jinsi izo gari zilivyo za kimaskin mpaka utatamani uache hata kazi unayofanya ufanye mambo kama yake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nilivyomuelewa huyo ndugu, atakuwa alimaanisha prado ile J150 na v8 alimaanisha ile J200 japo hiyo prado ni takataka kwa hiyo v8..

Sent using Jamii Forums mobile app

labda mkuu ila sio zile gari tunazozijua sisi man, zile gari kuanzia service mpaka maspea ni ghali kama kipato chako cha kubahatisha ni ishue kuhandle labda jamaa yupo vizuri sana

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kimsingi @Kifuku lilo ni intertainer mzuri tu, kuna uwezekano 90% hayo sio maisha yake halisi lakini kuna somo huwa anatoa kuhusu maisha. Napenda anayoyazungumzia, natamani vijana tufikie level hiyo kimaisha ili tuache kusindikiza wengine.

Mfano mzuri
Huyu mleta uzi kaleta uzi mzuri kabisa lkn ona dhihaka anazofanyiwa.
Wengi wa wanaofhihaki sio wenye nazo bali ni hahehohe.
Mtu ana uliza umekula?
Mtu snasema ist/spacio na tx, v8 ni sawa!
Hizi ni akili au matope?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sababu kuu inayobifanyaga nimsome kidukulilo ni hyo ananipa challenge kwene mambo fulan, hata hili limekuwa somo japokuwa mtoa mada kama kaleta masihara fulan kuifanya vx v8 na prado tx kama substitute product wakati nyingine ni bei ghali sana yan ni kama mtu uwe na jero alafu useme ninywe pepsi au coka, lakin kwa alichofanya yeye tofauti ni kubwa sana ila somo nlilolipata kumbe kuna uwezekano kabisa wakuachana na mimweche tukakalia chuma za maada, Inawezekana kabisa mkuu, lesson learned...

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Habari! Nlikuwa na meeting na investors kadhaa hapa nchini Sweden ndo maana nmekuwa busy kidogo.nmeshangaa jamaa anaulizia vitu vya ajabu.nmeangalia hiyo prado tx ni kama Toy kubwa la kuchezea watoto. Jamaa hana lolote.wenye pesa hatuulizi maswali ya kipuuzi hivi.tunaenda show room tunanunua Gari.siyo vyombo vya usafiri.hapo anaulizia hivyo kwenye account yake utakuta ana tsh 20,000,000 au mil 50. Then anapata wapi uhalali wa kuzungumzia hivyo vitu kama anazungumzia magari.mimi nlinunua Range 2. Bila kumuuliza mtu.nikanunua GMC, nikanunua JEEP, nilinunua Benz na BMW sikuwah uliza mtu.sababu nayafahamu magari.nmezaliwa nmeyakuta pale home.naendelea kiyatumia.nikisema niwe nauliza humu mtachoka.
 
Akhsante.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣, kidukulilo NAAAM...🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kila kitu ni mipango, nimekataa gari ndogo ni gharama kuliko kubwa.

1. Gari kubwa ya diesel ukinunua spare utakaa mpaka udahau lakini hivi vigari vidogo spare baada ya muda mfupi mfupi.

2. Uwezo wa kwenda popote majira yote, lkn gari ndogo wakati wa mvua huendi baadhi ya maeneo, huwezi kwenda porini na njia mbovu.

3. Gari kubwa inadumu sana bila kuchoka lakini dogo muda mfupi inachakaa.

4. Safari ya masafa marefu bila kuchosha injini.
Sababu kuu inayobifanyaga nimsome kidukulilo ni hyo ananipa challenge kwene mambo fulan, hata hili limekuwa somo japokuwa mtoa mada kama kaleta masihara fulan kuifanya vx v8 na prado tx kama substitute product wakati nyingine ni bei ghali sana yan ni kama mtu uwe na jero alafu useme ninywe pepsi au coka, lakin kwa alichofanya yeye tofauti ni kubwa sana ila somo nlilolipata kumbe kuna uwezekano kabisa wakuachana na mimweche tukakalia chuma za maada, Inawezekana kabisa mkuu, lesson learned...

Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], kidukulilo NAAAM...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my iPhone using JamiiForums
Mhaya wetu kafika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]safi sana Kiduku lilo

Back
Top Bottom