Kati ya prado Tx na landcruiser V8 ninunue gari gani?

Habari! Nlikuwa na meeting na investors kadhaa hapa nchini Sweden ndo maana nmekuwa busy kidogo.nmeshangaa jamaa anaulizia vitu vya ajabu.nmeangalia hiyo prado tx ni kama Toy kubwa la kuchezea watoto. Jamaa hana lolote.wenye pesa hatuulizi maswali ya kipuuzi hivi.tunaenda show room tunanunua Gari.siyo vyombo vya usafiri.hapo anaulizia hivyo kwenye account yake utakuta ana tsh 20,000,000 au mil 50. Then anapata wapi uhalali wa kuzungumzia hivyo vitu kama anazungumzia magari.mimi nlinunua Range 2. Bila kumuuliza mtu.nikanunua GMC, nikanunua JEEP, nilinunua Benz na BMW sikuwah uliza mtu.sababu nayafahamu magari.nmezaliwa nmeyakuta pale home.naendelea kiyatumia.nikisema niwe nauliza humu mtachoka.
Matajiri wa JF bana.
Screenshot_2020-01-03-22-03-57-1-1.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kabla hujaondoka Sweden inabidi uweke oda ya kununua boti ya kifahari, maana watu wanaona wewe sio member wa Dar Yatch Club.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] labda kashinda lottery [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] daaaaaah, me nashangaa anavyoruka step daaah

Sent from my iPhone using JamiiForums
V8 inaanzia 200m kama angemzabua mhindi tungesikia matangazo mkuu

Huyu anajaribu kutudanganya watu wazima kuwa alianza kukimbia kabla ya kutambaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom