Nilikusudia Kuandika DIEGO MARADONA na si PELEPele alikuwa hajui kuchezea mpira yeye kufunga tu
Mesii anakimbia anadribble anafunga
Dinho ndio freestyler wa mpira aliyeweza kucheza mpira...yaani anauchezea mpira huku anakucheka na anakufunga
Mbona huyo Dinho hajawahi kuipa Barcelona kombe la mfalme?Pele alikuwa hajui kuchezea mpira yeye kufunga tu
Mesii anakimbia anadribble anafunga
Dinho ndio freestyler wa mpira aliyeweza kucheza mpira...yaani anauchezea mpira huku anakucheka na anakufunga
Hv wewe umeanza kushabikia mpira lini vitu wanavifanya Leo wakina mess,dinho, ronaldo wote wawil,zizoou na wengneo Pele alishavifanya miaka hamsin iliyopita ACHA KUMFANANISHA PELE NA TAKATAKA ZINGNE angalia Pele documentary ndio utajua Pele alikuwa naniPele alikuwa hajui kuchezea mpira yeye kufunga tu
Mesii anakimbia anadribble anafunga
Dinho ndio freestyler wa mpira aliyeweza kucheza mpira...yaani anauchezea mpira huku anakucheka na anakufunga
Check clip, nahisi Pele ndo baba yao Nouma sana alikuwa anakabwa na watu 6Binafisi Gaucho alikuwa bora ktk angle hiyo ya kuuchezea mpira tena kwa mvuto wa hali ya juu muno. Hao wa akina Pele, Maradona na Garincha...sikuwahi kuwashuhudia....
zaman mabeki wanakaba total football,,Check clip, nahisi Pele ndo baba yao Nouma sana alikuwa anakabwa na watu 6