Kati ya Rosa Ree na Chemica nani zaidi katika michano?

Kati ya Rosa Ree na Chemica nani zaidi katika michano?

Udakuz

Member
Joined
Feb 4, 2013
Posts
85
Reaction score
51
ROSA%2BREEEEEEE.jpg
 
Rosa ree anatukana tukana tuu sioni anachoimba plus kiki za navi kenzo zinambarikia. She is gud kwa international market achane zaidi kwa ngeli labda atatoboa nje ila kwa ndani mimi nadefine upuuzi ulee.

Chemical jike dume,hivi mliambiwa kuwa jike dume ndo unakua mchanaji bora?? Nao ni upuuzi japo anajitahidi kwa soko la ndani amefit kwa soko la nje ajipange.
 
Chemical kana swaga flani ivi kwenye flow zake....ndo ananimalizaga...huyo mwengine cjawahi kumuelewa kbs..yaani hata kiitikio cha ngoma yake yoyote ile cjawahi kuhifadhi hata.
 
Chemical is the best tena namuelewa sana ila uyo Rosa ajipange pia aache ile tabia ya kukunja kunja mdomo
 
Achana na hao wanawake hua hawaeleweki
Nipo kwenye public car nikajikuta nacheka kwa nguvu watu wote macho kwangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mkuu wamekuchanganya nin
 
Nipo kwenye public car nikajikuta nacheka kwa nguvu watu wote macho kwangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mkuu wamekuchanganya nin
Hao ni hatari mkuu
 
Back
Top Bottom