Kila mbolea inaunguza ndio maana kwa mbolea za vinyesi huwa tunashauri /tunashauriwa kuweka wiki 2 hadi 3 shambani kwanza na uivuruge vzur na udongo kabla hujapandaNamie nimeambiwa pia hii ya popo, kwamba inastawisha vizuri sana...ila ya kuku inaunguza mazao.
kwenye viazi mviringo hata ukipandia haileti shida (hasa maeneo yenye ubaridi kama njombe au rungwe)Kila mbolea inaunguza ndio maana kwa mbolea za vinyesi huwa tunashauri /tunashauriwa kuweka wiki 2 hadi 3 shambani kwanza na uivuruge vzur na udongo kabla hujapanda
Kinachofanya mmea uungue ni zile reaction zinazofanywa na wadudu kwenye mbolea huzalisha joto ambalo ndio huunguza mmea
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Unaweza kuiweka mbolea ya kuku mahali ambapo jua linapiga muda wote na kisha unaimwagia maji kidogo na kuivundika Kwa kuifunika Kwa nailoni ili joto lake lisipotee Kwa urahisi. Unaweza iacha Kwa miezi mitatu...pia kuigeuza mara Kwa mara kunaifanya iive mapema na kupungua ukali( nitrogen)Nilienda sehemu nikakuta wanaweka mbolea ya kuku shambani wanaiacha mpaka miezi miwili kabla ya kupanda. Hii mbolea ni kali mno ila kama nilivyosema ina utaalamu wake
Kama kuchanganya ya ngombe na nguruwe au iyo noah umemanisha nini? Nadhani ukiwa unapendelea kuweka hii mbolea shambani utaona matokea chanya. Changanya utuletee mrejesho. .
Bado unauza mbolea mkuu??Tumia ya binadamu hutajuta na utakuwa tajili milele
Ongea na yale magari ya kunyonya kinyesi wakumwagie shamban kwako kipind cha kiangaz halaf piga jembe masika tia mbegu utavuna had watu wakwite mchawiBado unauza mbolea mkuu??
Ushawahi itumia?Mbolea ya binadamu ni bora sana tatizo kwenye kusambaza magonjwa tu
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Nishaona wachina wanatumia sio youtube ni live kwa macho yangu kwenye kambi moja walikuwa wanakarabati uwanja wa ndegeUshawahi itumia?
DuuuuuuuhNishaona wachina wanatumia sio youtube ni live kwa macho yangu kwenye kambi moja walikuwa wanakarabati uwanja wa ndege
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Umenipa kitu kipya hapa, home tunajimwagiaga tu kwenye mbogaSamadi ya ngombe ina long lasting effect ukiwa unaweka shambani rutuba yake inaweza kaa hata miaka mitatu. Samadi ya nguruwe ina nguvu ya kukuza mimea dakika sifuri tu nayo ukiweka shamba la mahindi utashangaa kijani chake. .
Samadi za kuku zina utaalamu wake utaunguza mazao usipokuwa makini ukaweka tu, na maa nyingine kutokana na pumba kwenye samadi ukakuta unachoma badala ya kustawisha mmea. Unaweka samadi ya kuku unakuta inaleta msururu wa sisimizi. .
Hapa ninafunga vibata juzi nimefagia kama mtu anahitaji mbolea niko manzese. .
Haidumu muda mrefu Kama ya cowNguruwe haina mpinzani na matokeo ni ndani ya muda mfupi tuuu
Asante hapa nimekukubali maana kuna Mboga zangu zilikuwa zinastawi vizuri nikaweka Mbolea ya Kuku matokeo yake hazistawi tena vizuri zinaelekea kukauka.Samadi ya ngombe ina long lasting effect ukiwa unaweka shambani rutuba yake inaweza kaa hata miaka mitatu. Samadi ya nguruwe ina nguvu ya kukuza mimea dakika sifuri tu nayo ukiweka shamba la mahindi utashangaa kijani chake. .
Samadi za kuku zina utaalamu wake utaunguza mazao usipokuwa makini ukaweka tu, na maa nyingine kutokana na pumba kwenye samadi ukakuta unachoma badala ya kustawisha mmea. Unaweka samadi ya kuku unakuta inaleta msururu wa sisimizi. .
Hapa ninafunga vibata juzi nimefagia kama mtu anahitaji mbolea niko manzese. .
Mbolea ya kuku ni vyema ukaiacha kwanza ioze vizuri hlf ndo uitumie...kama una nylon, unaimwagia maji halafu unaifunika iive haraka...wiki mbili mpaka tatu joto litaanza kupungua hapo ndo unaweza kutumia...Asante hapa nimekukubali maana kuna Mboga zangu zilikuwa zinastawi vizuri nikaweka Mbolea ya Kuku matokeo yake hazistawi tena vizuri zinaelekea kukauka.