Kati ya samsung J series na A series ipi nzuri?

Shida bongo simu za mkononi nyingine zinakua za wizi,inaweza kuja kukugharimu,ukaingia kwenye matatizo yasiyokuhusu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
A10 au A10s? A10 HAINA HIZO MAMBO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mi naamini sio a10 labda anasema a10s maana kuna tofaut kubwa kati ya hizo simu a10s ni mtk wakat a10 sio mtk labda ukute ndo ulinunua mikononi kwa watu ila kwa elimu hii nilopata leo nashukuru nimezifahamu simu za samsung labda kwa aina zingine ila kwa Samsung nmezielewa vizuri
A10 au A10s? A10 HAINA HIZO MAMBO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nashukur sana kwa elimu hii kiukweli nilikuwa sjui mengi kuhusu hizi simu za samsung ila leo nimepata. Darasa zuri sana kwako nmezifahamu kisawasawa naomba ulete na somo la aina aina zingine za cm kama oppo, xioami, vivo nk ili tusiwe tinapigwa aisee ili hata kama una nunua uwe unajua
 
Kwenye Hizi mambo huwa Nakukubali Sana, kuna maelezo yako Niliyafuata, Siku naenda nunua simu Pale aggrey yalinisave sana la sivyo ningeliwa kichwa....
Warning zote ulizoandika nikakutana nazo...
 
Huyu jamaa ashawahi nisaidia sana kwenye maelezo yake siku naenda kununua simu nikarudi tu jf nika refer.....
Nikapona maana isingekua yy ningeliwa kichwa kbsa... maaana kila mtego aliosema nikaukuta...
 
Nimesoma mpaka nimeridhika nafsi, unajua kuelekeza kwakweli...Ubarikiwe
 
Lete link ya huo uzi hapa alokusaidia na wengine tuchote hayo madini uloyachota ww mkuu tuongeze nondo maana hawa waunza cm wanatuibia sana kwa makusudi sasa ukiwa unazijua cm vizuri wanasanda
Huyu jamaa ashawahi nisaidia sana kwenye maelezo yake siku naenda kununua simu nikarudi tu jf nika refer.....
Nikapona maana isingekua yy ningeliwa kichwa kbsa... maaana kila mtego aliosema nikaukuta...
 
Lete link ya huo uzi hapa alokusaidia na wengine tuchote hayo madini uloyachota ww mkuu tuongeze nondo maana hawa waunza cm wanatuibia sana kwa makusudi sasa ukiwa unazijua cm vizuri wanasanda
Anza Na hii Halaf nakuletea nyingne...

https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1537697/

Km unapitia Ule uzi wa wauza smartphone Anatoaga ushauri wa bure sana..

Njoo hapa tena
https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/33821902

Soma hii comment hapa

https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/33463791

Nyingine...

https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/33143204

https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/31869306

Ni nying nashindwa tafta
 
Ya kwangu ni SM-A105F/DS
Sumsang hiyo vp nimeliwa kichwa?
 
Hii ndiyo jf inavyo takiwa kuwa shule tosha kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…