Kati ya samsung J series na A series ipi nzuri?

Naombeni tofauti kati ya A series na A
A-series ni Matoleo yote Ya samsung Ya model Inayotambulika/inayoanza na A...(A ikimaanisha ALPHA)
Kuanzia Samsung Alpha & A3(Za kwanza ktk A-series Mwaka 2014) - Samsung A71 & A90 5G(Latest A-series kwa sasa)

A ndio simu husika yenyewe ndani ya hio Series Mfano A10 n.k n.k
 
Hapana sidhan km ni setting...
Mkuu hapo sasa unaweza kunisaidia kujua shida ni nn may be masuala ya settings!?
Hapo Nahisi hasa hasa ni Software issues au kdg Hardware...

Km kuna software update imekuja hemb update hio simu...
Au km hilo tatzo limekuja baada ya ku update basi rudisha kwenye software ya mwanzo...

Au km yote hayo hayajahusika...
Subir samsung wakuletee update...
Ikija update hio simu.....
 
Braza shikamooo... umefuta matongotongo kwa wingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
F/DS
F stand for what

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa uko vizuri. Ahsante sqna. Ubarikiwe. Nimeona yangu in A-505/F/DS
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utajuaje ni carrier unlocked
 
Kwa J1 ace ni simu ya 2015 boss....
Km ume note vzr Nimesema hasa haya matoleo mapya....

Hio H ni Sawa na ni global Kwa matoleo ya zamani
[emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
O
 
O
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…