Kati ya samsung J series na A series ipi nzuri?

Je kama iko SM--N9005 halafu hamna hio F wala SD hio ikoje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je kama iko SM--N9005 halafu hamna hio F wala SD hio ikoje

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo kwa vyovyote itakua
Samsung Note 3,
Au nakosea?

Yoyote inayoishia na Namba haiko Locked ila Mara nyingi Ni mahususi kwa Kuuzwa Ukanda/zone flan...
Mfano Asia, Europe N.k... lkn inaweza kutumika ukanda hata tofaut na huo...

Hizi model wanatengeneza kutokana na nchi/bara au ukanda

Kwaio haina shida,
Na pili nimesema Hizi model zinazoishia na F/DS/FD zimekuja kwa matoleo haya kuanzia nahisi S5...
 
Shukrani kwa maelezo mazuri mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

[emoji23][emoji23]Tecno inapata lawama zaidi ya ccm


Sent using IPhone X
 
mimi nisaidieni tu Natumia Samsung A10.. Lakini Jamaa yangu Anataka kuniuzia Samsung M20.. nimeshakaa nayo kama week moja sasa naona iko poa.. Nilitaka hii A10 nimpatie MOTHER. je nitakuwa sawa au nibaki tu na hii A10.. Binafs naona kama Hii M20 ina Camera nzuri kuliko A10.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M20 ni Bora Zaid ya A10 kwenye nyanja nyingi
 
Nakubali nondo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samsung j series zilishatoka kwenye soko, na saivi zipo m series kwa ajili ya low end consumers, A series kwa ajili ya midrange consumers na S series zimekuwa kwa ajili ya high end consumers
Vip kihusu m series mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…