Kati ya samsung J series na A series ipi nzuri?

Wakuu nataka kununua simu ya samsung.
Sasa kuna hizi a series na j series. Je, ipi ni mzuri lwa bidget ya shilingi laki 6 hadi 8?
Au hata s series pia ipi nzuri
kwa hio budget kwenye samsung kuna A50/50s/51 na A70/71

sama kama mimi ningekuwa na hio budget xiaomi redmi k20 pro ni bora zaidi kwa simu za laki 8 kushuka chini, inatumia super amoled za samsung, flagship soc ya mwaka jana sd855, storage mpaka 256gb kwa hio budget, ram 8gb, ufs storage, battery kubwa etc.
 
salute mkuu,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndo mana nakutana na watu wengi sana wanauza samsung A10 used

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na samsung m31 je?
Boss hii sina ufahamu nayo Sana...
Ila kwa charge ndio mahala pake...
Ila Speaker ita ku disapoint km ulishawahi miliki simu yenye audio quality nzur....

Binafsi simu ikishakua tu na Plastic body na plastic frame baassi inanikata maini.....

Samsung kwa kweli wanayumba sana kwa haya ma plastic yao..

Nakat A-series za 2016 zilikua ni Glass body na alluminium frame..

Eti za leo 2020 wanarudi tena plastic body na plastic frame...
 
Mkuu asante sana, yaani kwa elimu hii sitakuja kununua famba tena.

Thank you mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
daaah nimepata elimu kubwa sana leo.,
Mkuu asante sana, yaani kwa elimu hii sitakuja kununua famba tena.

Thank you mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah ubarikiwe sana mkuu umenitoa tongotongo
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kama hii..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…