Kati ya samsung J series na A series ipi nzuri?

izi A izi nishashuudia moja ivi ina uzito flan lakin sikujua ni A ngap ngap lakin nikuanzia 10 nadhan nilistuka maaan kuna dogo alikuwa na A7 2015 du ni kamtambo haswa
 
Mkuu jap
Mkuu japo kwa kuchelewa kutokana na majukum ya kila siku ila ni
SM-A105F/DS
Hapo vp nimeliwa kichwa?
Airtel na voda ni kwikwi hasa maeneo ya vijijini ila Nimejaribu halotel angalau kidogo naweza kaa popote vila nikapata mtandao
 
Ushauri mzuri sana. Kweli JF ni kisima cha maarifa. Asante sana ndugu reyzzap
 
Shida ya A series vioo vyake kama vya tecno hasa hizi A10 wanatumia IPS LCD capacitive touchscreen wakati J series wao wanatumia Super AMOLED capacitive touchscreen hizi ni display type nzuri sana
 
Nimewahi nunua samsung s4 ilikuwa ya VERIZON yaan sikuwahi pata mateso kiasi kile sitasahau. Yaan kuna muda network ilikuwa inapotea au data inajiwasha hata sijaiwasha.
Kukaa na chaji sasa dakika 30 ni nyingi inazimika. Kuna kipindi inazima yenyewe tuu. Yaan niliishi na ile simu kama vile nina mwiba mguuni.
 
Hizo simu ni Jangaaaaa....
kwanza ukiona tuu imefika huku, jua kwa ulaya ANGALAU imetumika miaka 2.
 
Mimi niliwahi kununua iPhone 5 fake, mateso niliyoyapata sio ya nchi hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…