Kati ya SEKOMU na UDSM ni kipi chuo bora katika kuandaa wanafunzi walioiva katika masomo

SEKOMU???? Huyu ni mdudu gani tena?
 
ivi ulipost huku umelewa au ukiwa usingizini? au ndo kutaka kuipa sekomu kiki?... kama umekosa kitu cha kupost bora ukakojoe ulale...
 
Kama hadi umefikia kupost hapa basi naamini kuna aina nyingi sana za magonjwa ya akili.
 
Vijana mna mambo,tatzo ni kwenda vyuo mkiwa na adolescency,kila siku mnaambiwa kwa mfumo wa elimu ya juu wa hapa tz uzuri wa graduate sio chuo.
 
Tatizo la mtoa mda ni mfumo wake wa kufikiri.Ebu waulize walimu wako wa sekuko walisomea wapi kam c udsm,
siki nyingine uliza maswali ya maana kwani unajaza tu saver ya jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…