Kati ya SEKOMU na UDSM ni kipi chuo bora katika kuandaa wanafunzi walioiva katika masomo

Kati ya SEKOMU na UDSM ni kipi chuo bora katika kuandaa wanafunzi walioiva katika masomo

Unafananisha usafiri wa ndege(UDSM) cha 4 Afrika na guta(SEKOMU) kitakuwa cha laki 9... Thanks!
Na kama sekomu ni ndege basi ni ile ya maleshia mpaka satelite zinapata shida kutambua ilipopotelea.think twice najua unakazana ili kijulikane umewahi ona udsm inajitangaza? Lkn bado miudenda inawatoka juu yake. Be blessed udsm
 
Tatizo la mtoa mda ni mfumo wake wa kufikiri.Ebu waulize walimu wako wa sekuko walisomea wapi kam c udsm,
siki nyingine uliza maswali ya maana kwani unajaza tu saver ya jf[/QUOTE

Nashukuru umemsoma analinganisha bahari(udsm) na mfereji unaotokana na mvua za msimu(sekemu)
 
Haya ni madharau ya wazi sasa. Kuifananisha UDSM NA SEKOMU? HAKUNA DHARAU KAMA HII.
 
toeni majibu na si majigambo, karibuni
mkuu,hakuna mwanafunzi wa advance level aliyekijua chuo cha sekomu kabla ya kufeli.vyuo hivyo cc tunaviita altenative universities kwa kuwa hujiunga wale waliokosa division one hasa Enzi zile kabla ya tcu.na naamini chuo hicho ukiwa na one kali hudailiwi kwa kuogopa utawasumbua..kama mimi muongo,mtoa mada atupie cheti chake cha advance.
 
Daah mkuu umenichekesha sana aisee,ila sekomu ndio chuo pekee cha special education hapa nchini kwa mantiki hiyo hiki ni chuo bora cha special education kwa Tanzania.
 
mleta mada inaonyesha una matatizo wewe huwez kuja kulinganisha vitu ambavo kiuhalisia havilingani Udsm itaendelea kuwepo hata vikija vyuo 100 na hyo haimanisha kitashuka ubora pole kwa kukosa chance adhimu kubali chuo unachosoma kukosa nafasi isiwe sababu ya kufanya comparison zisizo zakutumia akil mana Udsm ni recognized in the world whether you like it or not cha msingi appreciate chuo chako kama unasoma degree na una mawazo kama hayo na wasi wasi ndo mana mnaitwaga vyuo vya kata think like an intellectual hata kama uko Teku
 
Back
Top Bottom