Na kama sekomu ni ndege basi ni ile ya maleshia mpaka satelite zinapata shida kutambua ilipopotelea.think twice najua unakazana ili kijulikane umewahi ona udsm inajitangaza? Lkn bado miudenda inawatoka juu yake. Be blessed udsmUnafananisha usafiri wa ndege(UDSM) cha 4 Afrika na guta(SEKOMU) kitakuwa cha laki 9... Thanks!
Tatizo la mtoa mda ni mfumo wake wa kufikiri.Ebu waulize walimu wako wa sekuko walisomea wapi kam c udsm,
siki nyingine uliza maswali ya maana kwani unajaza tu saver ya jf[/QUOTE
Nashukuru umemsoma analinganisha bahari(udsm) na mfereji unaotokana na mvua za msimu(sekemu)
Haya ni madharau ya wazi sasa. Kuifananisha UDSM NA SEKOMU? HAKUNA DHARAU KAMA HII.
mkuu,hakuna mwanafunzi wa advance level aliyekijua chuo cha sekomu kabla ya kufeli.vyuo hivyo cc tunaviita altenative universities kwa kuwa hujiunga wale waliokosa division one hasa Enzi zile kabla ya tcu.na naamini chuo hicho ukiwa na one kali hudailiwi kwa kuogopa utawasumbua..kama mimi muongo,mtoa mada atupie cheti chake cha advance.toeni majibu na si majigambo, karibuni
mkuu,hakuna mwanafunzi wa advance level aliyekijua chuo cha sekomu kabla ya kufeli.vyuo hivyo cc tunaviita altenative universities kwa kuwa hujiunga wale waliokosa division one hasa Enzi zile kabla ya tcu.na naamini chuo hicho ukiwa na one kali hudailiwi kwa kuogopa utawasumbua..kama mimi muongo,mtoa mada atupie cheti chake cha advance.