Kati ya Serie A na la Liga ipi ligi Bora

Kati ya Serie A na la Liga ipi ligi Bora

Shooter Again

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
5,603
Reaction score
9,263
Naombeni majibu yenu wakuu,

Hizi ligi mbili nilizozitaja ipi ni Bora na yenye ushindani maana kuna ubishani hapa Baa

Leo mpaka watu wanataka kupigana Yani mwaka mpya wanataka kuanza na majanga

kwakua JamiiForums ni kisima Cha maarifa nikaona nilete huu mzozo umu Ili mnifafanulie
 
serie A ilikua miaka ya 2000 sasa hivi hamna kitu imebaki story tunaona hata kibibi kizee cha turin kinavyosulubiwa. .
 
Sasa la liga ukaifananishe na serie A kweli!

La liga labda na Epl.
 
La Liga sasa hao wanaobisha wanasema Serie A inaizidi La Liga kwa lipi labda?
 
Ubora wa ligi mi Sijuagi vigezo, ila Mpira wa italia unanivutia kuuangalia, kila timu inacheza mpira utadhani ni fainali ya kombe flani.
 
Ubora wa ligi mi Sijuagi vigezo, ila Mpira wa italia unanivutia kuuangalia, kila timu inacheza mpira utadhani ni fainali ya kombe flani.
Ubora wa ligi unaangalia mafanikio ya timu toka ligi husika ktk kuchukua makombe makubwa eg UEFA, Europa, n k
 
Back
Top Bottom