Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Jadili hojaWanataka kupigana kisa ligi alafu highlife sio pombe ya kunywa
Kila mtu na anachopenda ubora wa ligi upo tu akilini mwa mtuJadili hoja
Ubora wa ligi unaangalia mafanikio ya timu toka ligi husika ktk kuchukua makombe makubwa eg UEFA, Europa, n kUbora wa ligi mi Sijuagi vigezo, ila Mpira wa italia unanivutia kuuangalia, kila timu inacheza mpira utadhani ni fainali ya kombe flani.