Kati ya Songea na Singida ni mkoa upi mzuri kwa mtu anaetaka kuishi na kujishuhurisha na ufugaji na kilimo?

Wakuu **** MTU hapa anaweza akatoa mrejesho wa Mtwara.......

1. Ni kijiji gani na kipo wilaya gani
2. Mazao gani yanakubali
3. Ardhi inapatikana kwa utaratibu gani. Ni kijiji kinatoa au watu binafsi wanauza
3. Uwezekano wa irrigation kwa mazao madogo madogo ukisubiria msimu mkubwa
4. Usafiri na huduma za kijamii.

Somebody kindly help. Nataka kwenda mtwara kujishughulisha.

Blessings
 
Ruvuma(Songea)ni moja kati ya Mikoa mitano(5) inayoilisha Tanzania.
 
Mara kuna utajiri upi mkuu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…