johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Labda nikukumbushe.Hivi hata Sheria kidogo hata za Mahakama ya Kuku hizijui au? Mtu akifungwa jela akikata rufaa kabla rufaa yake haijasikilizwa anakuwa huru?
Covid 19 walivuliwa Uanachama, wamekata rufaa. Kabla ya rufaa kusikilizwa wanakuwa wanachama au siyo wanachama?
Baada ya mfano huo linganisha Sasa akili za Msekwa na za Mdee.
Huko nyuma kuna mbunge wa viti maalumu wa CUF alivuliwa uanachama akaenda kudai haki yake mahakamani,
Wakati kesi inaendelea yeye aliendelea kuwa mbunge na ndipi msamiati wa " mbunge wa mahakama " ulipoasisiwa.
Labda kwa mfano huo utaelewa hata kama nyakati hizo ulikuwa bado vinenani!