Kati ya Spika mstaafu Msekwa na Halima Mdee nani yuko sahihi juu ya uhalali wa Wabunge 19 wa CHADEMA?

Labda nikukumbushe.

Huko nyuma kuna mbunge wa viti maalumu wa CUF alivuliwa uanachama akaenda kudai haki yake mahakamani,

Wakati kesi inaendelea yeye aliendelea kuwa mbunge na ndipi msamiati wa " mbunge wa mahakama " ulipoasisiwa.

Labda kwa mfano huo utaelewa hata kama nyakati hizo ulikuwa bado vinenani!
 
Msekwa anaongelea sheria na kanuni za ubunge, Mdee anajihami kulinda ubunge wake huku akijia hana chama cha siasa kuhalalisha ubunge wake.
 
Msekwa yuko sahihi

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Hahahahaha
 
Kamati Kuu ya CCM
 
Ningekubaliana sana na wewe kama Chadema hawaku take action, Chadema waliwafukuza na wakaiuliza tume ya uchaguzi wapi waliyapata hayo majina, NEC ilikaa kimya hadi leo, spika akawatetea, sasa ulitaka Chadema ifanye nini zaidi? Yaani unataka kulazimisha lawama kwa asie husika?? Bro hebu peleka lawama kwa muhusika, Chadema hapa unawaonea kaka, kua mkweli tu
 
Hivi hao wanaoitwa COVID 19 wanapeleka sehemu ya mishahara yao kwenye chama wanachodai kuwa bado ni wanachama? Maana huko nyuma ilisemekana kuwa wabunge wote wa CHADEMA hulazimika kukatwa sehemu ya mishahara yao kuchangia chama chao kitendo kilichopigiwa kelele sana na baadhi yao hasa waliokihama.
 
Jibu hili hapa, ndugai alifanya uhuni wa wazi wazi.

 
Hapa umekosea kidogo (Msekwa ndio ametunga sheria za Mabunge mengi Africa)
 
Unafikiria Kwa kutumia nini?!!.. Serikali ndio imewapeleka pale sio Chadema ndio maana umeona Msekwa anasema hili na yeye ndio mtunzi wa Sheria nyingi na vitabu vingi vya Mabunge ya Africa!!..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…