Kati ya Starboy (Wizkid) na Davido nani zaidi!?

Sio kitoto.
Ila wiz hawez mziki wa tecno yule dogo nae matata sana
Yule ngoma zake za mwanzoni ndio zilikuwa Kali, za sikuhizi za kawaida sana. Hawezi kuwafikia kina Wizkid na Davido ambao tangu wametoka wanagonga hit after hit. Sema kuna wimbo wa Tekno nimeshindwa kuuchoka kabisa ule 'Where'
 
Hawa wote ni magiant wa africa wakitoka wao ndo wanafata wale wasouth kisha watz
 
Starboy ni Album ya 3 ya The Weeknd yule M'Canada anaefanyia kazi zake Marekani,ilitoka 2016 ikiwa na ngoma kama Reminder, I feel it coming,Starboy,Party monster, Secrets nk.,,Na Wizkid aka yake ndo hiyo Starboy na ndo wakwanza kujiita ivo ata kabla ya Album ya The Weeknd.
Starboy ni The Weeknd wa Marekani au sio ?
 
Sikujua hilo
 
True Wizkid kaanza kujiita Starboy 2013/14 kabla huyo The Weekend hajatoka,kipindi hiko yupo chini ya Bank W.

Tizama hiyo nyimbo yake ya On Top your matter (2014),mwanzoni kabisa utaona Starboy.
 
True Wizkid kaanza kujiita Starboy 2013/14 kabla huyo The Weekend hajatoka,kipindi hiko yupo chini ya Bank W.

Tizama hiyo nyimbo yake ya On Top your matter (2014),mwanzoni kabisa utaona Starboy.
Kumbe wizkd ashawahi kuwa chini ya Banky W
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…