screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,857
- 15,866
Yule ngoma zake za mwanzoni ndio zilikuwa Kali, za sikuhizi za kawaida sana. Hawezi kuwafikia kina Wizkid na Davido ambao tangu wametoka wanagonga hit after hit. Sema kuna wimbo wa Tekno nimeshindwa kuuchoka kabisa ule 'Where'Sio kitoto.
Ila wiz hawez mziki wa tecno yule dogo nae matata sana