KATI YA SUA,MZUMBE,MUCCOBs,UDSM,SAUTna UDSM KIPI CHUO BORA NA KWA SABABU GANI?


wewe hivi umefika hata shule kweli? mnamawazo ya kizamani hivyo? udsm was the only university in 60's kwa hali hiyo lazima kifahamike na wengi, ila haimaanishi kwamba mpaka leo kibaki na hadhi hiyo kwani kuna vyuo vikuu vingi na taasisi za elimu ya juu now days. Kwa mantiki hii hata udom kinaweza kikawa bora kuliko udsm depending na taaluma zinazotolewa pale. Hii mijadala ya chuo bora inapoteza muda na kweli haina tija kwa taifa.
 
Ukitaka kujua ubora wa elimu ya udsm jaribu kwenda kwenye profesional bodies, kama nbaa nk hata masters level,wanaofaulu wa udsm wanahesabika.au waje kufanya field ofcn uwaulize maswali wa udsm ndo vilaza
 
hahaaaa karibu huku kwetu kama unaweza msuli mbuzi MU
 
Chuo kikiwa bora na kichwani hamna ki2 kitakusaidia nini? chuo bora ni kichwa chako 2
 
watu ambao wamekoment vibaya hii thread ni wale ambao vyuo vyao havija andikwa tehethetehe
 
Tatizo mmejaa watoto humu jf,mnapost na kukoment vitu vya kijinga,wakati kuna changamoto kibao za kijamii zipo zimekuzunguka!
 
Chuo bora ni SUA na branch yake MUCCoBS basi sabab vina wastan mkubwa na coz nyingi za kipekee! Mfano. Degree of forest ipo sua only, degree of microfinance and enterprise dvp ipo muccobs only
 
Chuo bora ni SUA na branch yake MUCCoBS basi sabab vina wastan mkubwa na coz nyingi za kipekee! Mfano. Degree of forest ipo sua only, degree of microfinance and enterprise dvp ipo muccobs only

....loading....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…