king Chuga
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 510
- 52
Kiu dar campus
Upo apo kiu bado ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiu dar campus
Nakuunga mkono ila jitahidi kwenye kuandikaChuo bora ni SUA na branch yake MUCCoBS basi sabab vina wastan mkubwa na coz nyingi za kipekee! Mfano. Degree of forest ipo sua only, degree of microfinance and enterprise dvp ipo muccobs only
admhn futa hh thread inaboa na haina tija.
hujui hata kuandika ,eti nae anasoma chuokikuu
we mpiga msuli hiz ni typing error tunatumia vimeo mda mwingne,si mda wote tuna pc wengne kama wewe,acha majungu.kumbuka kuna technical na foolish mistake.hiyo ni technical mistake sio foolish,say i get, it.my lawyer.ila acheni hizi ligi za vyuo maana ni sawa na mihazara ya wakristo na waislam hainaga mwisho.
hahahaha umenichekesha sana
Vyuo vya selikali tanzania na hi list ni cha kwanza kuanzishwa hadi cha 5 in order.1.udsm 2.sua 3.open unv 4.mzumbe unv 5.ardhi 6.muhas.7.udom malizia
mkuu umekosea chuo cha kwanza kuanzishwa ni 1.UDSM (1961)2.USHIRIKA (1963), 3.IFM(1972 KILIANZISHWA NA N.B.C), 3.IDM MYUMBE 4.SUA (1984) ,5.OPEN UNIVERSITY(1992) , 6.TUMAINI(1997), 7.SAUT(1998 ) ,
Ukiona mtu anahangaika kujua chuo gani bora,wakati vyote ni vyuo vikuu vilivyoanzishwa kwa mujibu wa sheria za nchi, ujue utoto uliochanganyika na ujinga umemjaa
uliniambia mi sijui kuandika ona 3.idm myumbe 4.sua (1984),hahahaha. Pole mkuu unatumia simu kama mimi?
Sio mbaya ni technical mistake
Ukiona mtu anahangaika kujua chuo gani bora,wakati vyote ni vyuo vikuu vilivyoanzishwa kwa mujibu wa sheria za nchi, ujue utoto uliochanganyika na ujinga umemjaa
Chuo bora ni SUA na branch yake MUCCoBS basi sabab vina wastan mkubwa na coz nyingi za kipekee! Mfano. Degree of forest ipo sua only, degree of microfinance and enterprise dvp ipo muccobs only