KATI YA SUA,MZUMBE,MUCCOBs,UDSM,SAUTna UDSM KIPI CHUO BORA NA KWA SABABU GANI?

KATI YA SUA,MZUMBE,MUCCOBs,UDSM,SAUTna UDSM KIPI CHUO BORA NA KWA SABABU GANI?

Chuo bora ni SUA na branch yake MUCCoBS basi sabab vina wastan mkubwa na coz nyingi za kipekee! Mfano. Degree of forest ipo sua only, degree of microfinance and enterprise dvp ipo muccobs only
Nakuunga mkono ila jitahidi kwenye kuandika
 
hujui hata kuandika ,eti nae anasoma chuokikuu

we mpiga msuli hiz ni typing error tunatumia vimeo mda mwingne,si mda wote tuna pc wengne kama wewe,acha majungu.Kumbuka kuna technical na foolish mistake.hiyo ni technical mistake sio foolish,say i get, it.my lawyer.ila acheni hizi ligi za vyuo maana ni sawa na mihazara ya wakristo na waislam hainaga mwisho.
 
Vyuo vya selikali tanzania na hi list ni cha kwanza kuanzishwa hadi cha 5 in order.1.udsm 2.sua 3.open unv 4.mzumbe unv 5.ardhi 6.muhas.7.udom malizia
 
we mpiga msuli hiz ni typing error tunatumia vimeo mda mwingne,si mda wote tuna pc wengne kama wewe,acha majungu.kumbuka kuna technical na foolish mistake.hiyo ni technical mistake sio foolish,say i get, it.my lawyer.ila acheni hizi ligi za vyuo maana ni sawa na mihazara ya wakristo na waislam hainaga mwisho.

hahahaha umenichekesha sana
 
Ubora wa chuo ni kichwa chako
=====================
Ukipata Ujumbe wa chuki matusi futa delete kabisa
=====================
 
Vyuo vya selikali tanzania na hi list ni cha kwanza kuanzishwa hadi cha 5 in order.1.udsm 2.sua 3.open unv 4.mzumbe unv 5.ardhi 6.muhas.7.udom malizia

mkuu umekosea chuo cha kwanza kuanzishwa ni 1.UDSM (1961)2.USHIRIKA (1963), 3.IFM(1972 KILIANZISHWA NA N.B.C), 3.IDM MYUMBE 4.SUA (1984) ,5.OPEN UNIVERSITY(1992) , 6.TUMAINI(1997), 7.SAUT(1998 ) ,
 
mkuu umekosea chuo cha kwanza kuanzishwa ni 1.UDSM (1961)2.USHIRIKA (1963), 3.IFM(1972 KILIANZISHWA NA N.B.C), 3.IDM MYUMBE 4.SUA (1984) ,5.OPEN UNIVERSITY(1992) , 6.TUMAINI(1997), 7.SAUT(1998 ) ,

umekosea mi nimesema vya selikali tu,we umechanganya na vya private. Hahahaha 3.IDM MYUMBE *hahahaha mwanasheria kwa uhandishi huu?Myumbe?.usimcheke mwenzio mbna nawe wakosea?
 
uliniambia mi sijui kuandika ona 3.IDM MYUMBE 4.SUA (1984),hahahaha. Pole mkuu unatumia simu kama mimi?
Sio mbaya ni technical mistake
 
Ukiona mtu anahangaika kujua chuo gani bora,wakati vyote ni vyuo vikuu vilivyoanzishwa kwa mujibu wa sheria za nchi, ujue utoto uliochanganyika na ujinga umemjaa
 
Ukiona mtu anahangaika kujua chuo gani bora,wakati vyote ni vyuo vikuu vilivyoanzishwa kwa mujibu wa sheria za nchi, ujue utoto uliochanganyika na ujinga umemjaa

Sheria namba ngapi mkuu ,tukaisome
 
Anayeanzisha topic za kitoto hivi ajifikirie...chuo bora ni kichwa chako watafute waliosoma vyuo vyote kwa wakati mmoja...huwez kuuliza nyama ya mbuzi na ya kuku ipi tamu ile hali we unajua tu ladha ya nyama ya mbuzi...THINK BIG.
 
Ukiona mtu anahangaika kujua chuo gani bora,wakati vyote ni vyuo vikuu vilivyoanzishwa kwa mujibu wa sheria za nchi, ujue utoto uliochanganyika na ujinga umemjaa

warudi chekechea mawazo yao bado ya kitoto...hata usome oxford kama bichwa lako zuzu hutaona ubora wa elimu yake..
 
Chuo bora ni SUA na branch yake MUCCoBS basi sabab vina wastan mkubwa na coz nyingi za kipekee! Mfano. Degree of forest ipo sua only, degree of microfinance and enterprise dvp ipo muccobs only

Hivi na wewe uko Chuo Kikuu? Arguments zako zimenistua. Kha!
 
Hoja yake siyo mbaya, nashindwa kuelewa kwa nini mnashindwa kumelekeza! kama ndo hivyo basi wasinge fanya ranking za vyuo kitaifa mpaka kimataifa.
kijana basi ebu cheki kwenye google top 10 university of tanzania 201-utaona yote google itakupa jibu,huwa watoa position kila mwaka. ni muhimu kujua sifa za chuo unachotaka kwenda kusoma na kina position gani. hii ni post ya 2012 lakini nimejibu kwa faida ya wasomaji wapya.
 
Back
Top Bottom