Mpigamsuli
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 3,885
- 582
wan jf ninaomba michango yenu juu ya hilo la ubora wa hivyo vyuo hapo juu na sababu ya ubora wake il tukat mziz wa fitin
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulishasema huko nyuma maswali kama haya hayasaidii chochote kudumisha elimu yetu...Tafuta post za nyuma utajua kipi ni Chuo bora vinginevyo waombe TCU wafanye hiyo kazi.wan jf ninaomba michango yenu juu ya hilo la ubora wa hivyo vyuo hapo juu na sababu ya ubora wake il tukat mziz wa fitin
wan jf ninaomba michango yenu juu ya hilo la ubora wa hivyo vyuo hapo juu na sababu ya ubora wake il tukat mziz wa fitin
afu we unamawazo ya kitoto,au ndo nyinyi mlikuwa mnashindana eti mi wa kwanza mpaka f V1. dogo kuwa basi!!
Hakuna kilocho bora....
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
vyuo vina kuwa graded kwa ubora kwa course zinazotoa mfano muhimbili ni bora kwa medicine n pharmacy, sua ni bora kwa agriculture mzumbe kwa mambo ya biashara nk, huwezi kushindanisha ubora wa vyuo wakati hazitoi course moja au zenye facult tofauti, Badili hilo swali lako maana halina mantiki yoyote