Abuusalahudin
New Member
- Dec 29, 2015
- 3
- 4
Nataka kununua mojawapo, kiongozi.Unataka kununua moja wapo au unazipenda?
Chukua Subaru Forester mkuu.Nataka kununua moja wapo kiongozi
Naunga mkono hojaView attachment 1240400
Dahhh....Mkuu kuna vijana hawazijui wala hawajawahi kuziona hizi renault
Forester is the best ila kaa mbali na yenye turbo.
Unataka kununua moja wapo au unazipenda?
Nataka kununua moja wapo kiongozi
Asante kwa maelezo ya kina. Je subaru Kuna ambazo hazina Four wheel?Zote nzuri. Xtrail inahitaji matunzo sana ili idumu, Subaru inavumilia shida kulinganisha na xtrail. Xtrail kuna zenye option ya four wheel, ipo juu vizuri, ina muundo mzuri wa sport utility vehicle wkt mwenzie amepungukiwa kidogo na sifa hizo.
Xtrail ni rahisi sana kutengeneza kwa fundi mjuzi sababu Mara nyingi inahitaji kubadili Vifaa badala ya kufix. Hata engine yake ni cheap ukiua. Unanunua kama spea tu.
Ni gari nilizozitumia. Na kama ni lazima nichague tena basi zote naziona poa tu ilimradi unaagiza mpya 0km au good condition from Japan au nchi zilizoendelea.
Note: kama Unanunua used hapa go for Subaru. Xtrail ina mambo mengi sana kuanzia oil replacement, sensors n.k na watanzania wenzangu wengi si watunzaji au hawana mafundi wanaoeleweka hivyo wanajikuta wanabadili badili mafundi. Na hapa nazungumzia second na first generation. Hizi mpya sijatumia
'ilimradi unaagiza mpya 0km'Zote nzuri. Xtrail inahitaji matunzo sana ili idumu, Subaru inavumilia shida kulinganisha na xtrail. Xtrail kuna zenye option ya four wheel, ipo juu vizuri, ina muundo mzuri wa sport utility vehicle wkt mwenzie amepungukiwa kidogo na sifa hizo.
Xtrail ni rahisi sana kutengeneza kwa fundi mjuzi sababu Mara nyingi inahitaji kubadili Vifaa badala ya kufix. Hata engine yake ni cheap ukiua. Unanunua kama spea tu.
Ni gari nilizozitumia. Na kama ni lazima nichague tena basi zote naziona poa tu ilimradi unaagiza mpya 0km au good condition from Japan au nchi zilizoendelea.
Note: kama Unanunua used hapa go for Subaru. Xtrail ina mambo mengi sana kuanzia oil replacement, sensors n.k na watanzania wenzangu wengi si watunzaji au hawana mafundi wanaoeleweka hivyo wanajikuta wanabadili badili mafundi. Na hapa nazungumzia second na first generation. Hizi mpya sijatumia
Wewe unamiliki hiyo yenye turbo au nfo maneno ya mtaani? Turbo ya Forester inarunguka baada ya mtumiaji kufika 100km na bado hata ikifunguka haitumii mafuta mengi ni kawaida tu. Msimdanganye gari bzuri ni yenye turboForester is the best ila kaa mbali na yenye turbo.
Na Subaru bila Turbo kwangu naona ni useless tu.Wewe unamiliki hiyo yenye turbo au nfo maneno ya mtaani? Turbo ya Forester inarunguka baada ya mtumiaji kufika 100km na bado hata ikifunguka haitumii mafuta mengi ni kawaida tu. Msimdanganye gari bzuri ni yenye turbo