Kati ya Subaru Forester na Nissan X-trail, ipi bora?

Asante kwa maelezo ya kina. Je subaru Kuna ambazo hazina Four wheel?
Subaru zote nilizotumia zilikuwa hazina option ya four wheel Ila Xtrail ndo kuna zenye nayo na ambazo hazina. Ila gari ikiwa front wheel ni ngumu kukwama kama ww ni dereva mzuri, though hapa nazungumzia mazingira ambayo si mabaya sana. Tope la kawaida.
 
Ulikua unatumia subaru model zipi mkuu?

Maana subaru zote zinatumia AWD kasoro Subaru BRZ tu ndio ambayo ni RWD
 
Nimetumia first na second na zilikuwa ni two wheel. Nilikuwa naamini ni awd labda zinapeek zinapopata shida kwenye tope but metiii,
 
Bado sijakusoma mkuu,zilikua ni model zipi hizo subaru?

0km??? Kibongo bongo naonaga serikalini ndio wanaweza haya madude
Ndio maana nimeshangaa kidogo mkuu,ukiachana na Serikali/NGO's na matajiri wachache saaana then wengine wote tuliobaki tunanua used tu.
 
Bado sijakusoma mkuu,zilikua ni model zipi hizo subaru?
Sasa mkuu kama nikisema first generation na second generation hunielewi sjui nitumie terminology zipi. Au ingia kwe search engine yoyote watakuletea.

Halafu ningependa uelewe kwamba mm si mtaalamu wa magari hivyo sijui mambo ya horsepower sijui pulling au unique terminologies. Nafahamu mambo basic tu na ushauri niliotoa ni out of my personal experience.

Hii Subaru zilikuwa ni two wheel sio all wheel. Na nilishakwama si Mara moja na haikupeek matairi yote so nikajua si all wheel na haikuwa na sehemu ya kuingage four wheel.
 
Ndio maana nimeshangaa kidogo mkuu,ukiachana na Serikali/NGO's na matajiri wachache saaana then wengine wote tuliobaki tunanua used tu.
Wapo watu binafsi wananunua 0km na wapo watu hata used hawawezi. Sijawahi nunua 0km lakini naamini nitafanya hivyo karibuni MUNGU akinijalia.
 
Sasa mkuu kama nikisema first generation na second generation hunielewi sjui nitumie terminology zipi. Au ingia kwe search engine yoyote watakuletea.

Halafu ningependa uelewe kwamba mm si mtaalamu wa magari hivyo sijui mambo ya horsepower sijui pulling au unique terminologies. Nafahamu mambo basic tu na ushauri niliotoa ni out of my personal experience.

Hii Subaru zilikuwa ni two wheel sio all wheel. Na nilishakwama si Mara moja na haikupeek matairi yote so nikajua si all wheel na haikuwa na sehemu ya kuingage four wheel.

1st/2nd gen ya forester/imprezza/legacy/outback au ipi?hili ndilo lililokua swali mkuu.

Na ndio maana nimeshangaa kuona kama kuna subaru ambayo haina AWD.,mostly pre-1996 subaru ndo zilikua na 2WD then after ni AWD.

Na AWD hauhitaji ku-engage yenyewe ni full time ikihisi tu sehemu kuna uhitaji inafanya mambo yake chap.
 
Wapo watu binafsi wananunua 0km na wapo watu hata used hawawezi. Sijawahi nunua 0km lakini naamini nitafanya hivyo karibuni MUNGU akinijalia.

Ndio maana nikaandika matajiri wachache sana wata afford 0km.

Kama Toyota Corolla 2018 tena base model tu ukijumlisha mpk na kodi ya TRA unaipata kwa Tsh. Million 72.5mil sijui hayo mengine yatauzwa sh. Ngapi.
 
Back
Top Bottom