Subaru zote nilizotumia zilikuwa hazina option ya four wheel Ila Xtrail ndo kuna zenye nayo na ambazo hazina. Ila gari ikiwa front wheel ni ngumu kukwama kama ww ni dereva mzuri, though hapa nazungumzia mazingira ambayo si mabaya sana. Tope la kawaida.Asante kwa maelezo ya kina. Je subaru Kuna ambazo hazina Four wheel?
Hahaha'ilimradi unaagiza mpya 0km'
Nadhani hio sentensi hapo juu ulikua unatania tu mkuu.
Subaru zote nilizotumia zilikuwa hazina option ya four wheel Ila Xtrail ndo kuna zenye nayo na ambazo hazina. Ila gari ikiwa front wheel ni ngumu kukwama kama ww ni dereva mzuri, though hapa nazungumzia mazingira ambayo si mabaya sana. Tope la kawaida.
Lkn na yeye anaendesha toyota grande mark 2."According to kiduku lilo hivyo vyote Ni vyombo vya usafiri siyo magari"
Aisee chukua Subaru hiyo ndiyo bora; X-trail ni nzuri kwa lami ila rough road hapana.
Nimetumia first na second na zilikuwa ni two wheel. Nilikuwa naamini ni awd labda zinapeek zinapopata shida kwenye tope but metiii,Ulikua unatumia subaru model zipi mkuu?
Maana subaru zote zinatumia AWD kasoro Subaru BRZ tu ndio ambayo ni RWD
Nimetumia first na second na zilikuwa ni two wheel. Nilikuwa naamini ni awd labda zinapeek zinapopata shida kwenye tope but metiii,
Wazeee wa Speed, nakusalimuNa bila yenye turbo ni kama unapoteza muda tu barabarani.
0km??? Kibongo bongo naonaga serikalini ndio wanaweza haya madude'ilimradi unaagiza mpya 0km'
Nadhani hio sentensi hapo juu ulikua unatania tu mkuu.
Ndio maana nimeshangaa kidogo mkuu,ukiachana na Serikali/NGO's na matajiri wachache saaana then wengine wote tuliobaki tunanua used tu.0km??? Kibongo bongo naonaga serikalini ndio wanaweza haya madude
Hahah upele umepata mkunaji mkuu.Wazeee wa Speed, nakusalimu
Sasa mkuu kama nikisema first generation na second generation hunielewi sjui nitumie terminology zipi. Au ingia kwe search engine yoyote watakuletea.Bado sijakusoma mkuu,zilikua ni model zipi hizo subaru?
Wapo watu binafsi wananunua 0km na wapo watu hata used hawawezi. Sijawahi nunua 0km lakini naamini nitafanya hivyo karibuni MUNGU akinijalia.Ndio maana nimeshangaa kidogo mkuu,ukiachana na Serikali/NGO's na matajiri wachache saaana then wengine wote tuliobaki tunanua used tu.
Town, kati ya mji, huezi enjoy hizi gari. Mataa, mengi, matrafik kibao, folen......Hahah upele umepata mkunaji mkuu.
Subaru ni turbo banaaaNa Subaru bila Turbo kwangu naona ni useless tu.
Sasa mkuu kama nikisema first generation na second generation hunielewi sjui nitumie terminology zipi. Au ingia kwe search engine yoyote watakuletea.
Halafu ningependa uelewe kwamba mm si mtaalamu wa magari hivyo sijui mambo ya horsepower sijui pulling au unique terminologies. Nafahamu mambo basic tu na ushauri niliotoa ni out of my personal experience.
Hii Subaru zilikuwa ni two wheel sio all wheel. Na nilishakwama si Mara moja na haikupeek matairi yote so nikajua si all wheel na haikuwa na sehemu ya kuingage four wheel.
Wapo watu binafsi wananunua 0km na wapo watu hata used hawawezi. Sijawahi nunua 0km lakini naamini nitafanya hivyo karibuni MUNGU akinijalia.
Hahah Naam kama haina turbo haina maana tena.Subaru ni turbo banaaa
Hahah ndio bora usilinunue sasa mkuu,maana hutapata ule utam org.Town, kati ya mji, huezi enjoy hizi gari. Mataa, mengi, matrafik kibao, folen......