Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi wanasema usiwe umesup?Kama kwenye Supp hawawek chochote sasa huwa wanajuaje kuwa course fulan ulisapu kwenye interview!! maana kuna kaz zngne huwa wanatangaza kuwa uwe hujawah kusapu,sas watajuaje???
Acha kuodanganya hakuna kitu kma hicho labda vyuo vya nje ya TanzaniaSup lazima iwe na star
Star utawekewa kwenye profile ya chuo ya mtandaoni ila at the end hamna cheti chenye alama yoyote' wewe uliesup na yule aliepata C hamtofautiani cheti kinakuja plain na grading zakeSup lazima iwe na star
Mengine nimekuelewa ila hili nina mashaka.3. Si kweli ukiwa na sup haupati degree with hons.
Labda chuo cha eagle trainee center au amazonSup lazima iwe na star
Ooh nadhani sentensi yangu haikukaa sawa nimekusudia huo uvumi unaosema eti ukipata sup hupati degree with hons si kweli.Mengine nimekuelewa ila hili nina mashaka.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umesoma Data star nini
NaamPAMBANA Hakuna Nyota yeyote iwekwayo kwenye transcript, Bali ukiwa na Ma "C" Mengi transcript yako inaonekana ulikuwa mtu wa Sup sana. Piga kitabu.
Kwa uhadhiri wanatazama vigezo vyao, Mara zote Ni G.P.A
Kingine jifunze kuandika maneno yakamilike, ukizoea kuandika uandikavyo utadharaulika baadae .
Ni Kweli.Ngoja niweke sawa
1. Hakuna star inayowekwa katika transcript
2. Star huwa inawekwa katika matokeo yaliyopo katika account yako ya online kuonesha somo ulilofeli
3. Si kweli ukiwa na sup haupati degree with hons.
Ushauri: Soma kwa bidii, hizi sup ziwe bahati mbaya sana sio nzuri kurudi September conference
Ahsante