Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeishi sehemu moja hivi inaitwa mbarali,mbeya aiseh ukiwa na ilo guta unapiga ela sana maana kuna sehemu magari hayafiki so you have to use guta instead of canter kwaajili ya kubeba mpungaHahhhh
Mkuu ongeza nyama kdg kama una uzoefu,
Ipi itakuwa unyama zaid?
Mkuu tunaweza chonga kitu pm?Kwa maoni yangu chukua GUTA ya KIHINDI TOYO mwaka jana nilichukua moja cc250.
Mungu ni mwema mambo yameenda vzr kiasi nimeongeza moja juzi cc200.
Pia kwenye service akuna galama kubwa kwa GUTA ya KIHINDI TOYO.
Chuma nasubilia this week TRA wamalixie usajili wao kitu kiingie kwa njia.
Kiuhalisia ndo ipo hivo ila ukienda ukubwa wa engine Suzuki inaonekana Ina cc kubwa lkn ukiziwekea mzigo ule ule utakuta baada ya mwaka mmoja engine ya Suzuki inakua haijiwezi kabisa, asilimia 70 utakuta body ya zamani engine mpya.Hivi ni sababu zipi zinnazowafanya watu wadai guta ina nguvu kuĺiko suzuki carry wakati kitaalamu specs zake ni zaidi ya guta,mfano engine displacement na horsepower?Kumbuka the bigger the volume,the powerful the engine.
Bado sijapata hiyo mantikiKiuhalisia ndo ipo hivo ila ukienda ukubwa wa engine Suzuki inaonekana Ina cc kubwa lkn ukiziwekea mzigo ule ule utakuta baada ya mwaka mmoja engine ya Suzuki inakua haijiwezi kabisa, asilimia 70 utakuta body ya zamani engine mpya.
Sababu hasa nafikiri zipo mbili Kwa mtazamo wangu, haya maguta yana gia inaitwa rock diff, ikiwekwa hiyo gia kale kadude sijui kanatoaga wapi ule ubavu.
Sababu ya pili, gari hata kabla haijawekea mzigo tayari yenyewe ni mzigo, namaanisha body ya Suzuki Ina vyuma vingi na mambo mengine lakn guta ni jepesi likiwa bila mzigo, Kwa hiyo litadai mzigo mkubwa ili kuendana na power yake tofauti na carry.
nei yake ikojeNimeongeza chuma ya pili juzi mwendo ni TOYO gutta.Ya mwanzo ni cc250 na hii mpya ni cc200. Utofauti ni TOYO india na wahoo ni mchina.
KAZI ni kipimo cha UTU
View attachment 3003272
Tupe experience ya bei ya hiyo Toyo 250Nimeongeza chuma ya pili juzi mwendo ni TOYO gutta.Ya mwanzo ni cc250 na hii mpya ni cc200. Utofauti ni TOYO india na wahoo ni mchina.
KAZI ni kipimo cha UTU
View attachment 3003272
Na Wala sio KinglionTupe experience ya bei ya hiyo Toyo 250
Na kwanini umependelea Toyo na si Wanhoo wala Sinoray?
Mkuu hiyo Toyo inapiga tipper? Na bei ngapi kutokana na ujazo?Nimeongeza chuma ya pili juzi mwendo ni TOYO gutta.Ya mwanzo ni cc250 na hii mpya ni cc200. Utofauti ni TOYO india na wahoo ni mchina.
KAZI ni kipimo cha UTU
View attachment 3003272
Guta la 250cc linabeba mpaka tani 1.5,la 200cc ndo tani 1 kamiliBado sijapata hiyo mantiki
Kwa guta hiyo gia unayoongelea ni kama ipe 4wd ambayo hata kwenye Kirikuu ipo na sio gia ya kutembelea all the time ni sehemu korofi tu ukimaliza unaitoa
Na pia unataka kusema guta hazichakai? mimi nimeshuhudia guta zinapiga kazi ndani ya mwaka zinakuwa spana mkononi
Specs tu zenyewe zinasema Hizi Kirikuu zenye engine ya 650cc zinatakiwa zisizidishe mzigo wa kg 350....Wakati hizi guta nyingi zenye 250cc ukomo ni kg 200, Lakino unakuta carry ama guta imebeba zaidi ya kg 800! sasa kwanini zisichoke
Kimsingi Carry ina uwezo zaidi