Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
- #21
Kwann kaka?Bora kwa mpalange kuliko huko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwann kaka?Bora kwa mpalange kuliko huko
Najiandaa kuwa mpangaji wako mwezi ujao.Manzese ndo nilikokulia, uswahilini balaa. Unaanza kutafuta ukiwa na miaka 8....
Mbagala ndo nnakooshi....
Nalipa kodi ya nchi
Sivunji sheria
Usiku Mahaba kama kawaida.
Hata mimi nashangaa mkuu.
Duh aisee.. hapa umeuwa mkuu!Tandale ni Makao Makuu ya Uchawi na Manzese ni Makao Makuu ya Ukabaji kwa Mkoa wa Dar es Salaam.
Tandale kuna Mbu wengi na Manzese kuna Inzi wengi hasa kwa Mkoa wa Dar es Salaam.
Malaya wa Tandale unaweza Ukawakopa ila wa Manzese Malipo Kwanza.
Uzuri wa maeneo yote Mawili Tandale na Manzese ni kwamba hata ukiwa tu na Tsh 1,000/= unaweza Ukala chakula na Ukashiba ila hakikisha tu Dawa za Flagili hakiko mbali nawe na hukai mbali sana na kilipo Choo.
Tegemea kukutana na Paka wengi wasiokuogopa Tandale na Kukutana na Mbwa wengi Manzese ambao hutowaona muda wote ila ule wako wa Kupika na Kula Chakula chako utawaona.
Tegemea kukutana na Mashabiki wengi sana wa Simba SC, Liverpool FC na Manchester United FC Tandale na wa Yanga SC, Arsenal FC na Manchester City FC Manzese.
Wana CCM wengi utawakuta Tandale na Wapinzani wengi ( hasa CHADEMA ) utakutana nao Manzese.
Kodi za Kupanga za Tandale ni Nafuu ila zina Masharti hasa hasa ukiwa Bachela ila Kodi za Manzese ni juu kidogo ila uzuri wake hupangiwi aina ya Mgeni wa Kumuingiza ndani mwako.
Maduka mengi ya Tandale Condoms ni adimu sana ila Maduka ya Manzese utazikuta nyingi mno.
Misiba mingi inapatikana Tandale ila Majeneza mengi yanapatikana na Kuuzwa Tandale.
Ukitaka ujue kuitafuta Pesa ishi Tandale ila ukitaka ujue Kuhonga vyema ishi Manzese.
Ukitaka kuyajua Matusi mapya kaishi Tandale na ukitaka kuyazoea yale uliyoyasikia tokea ukiwa Mdogo kaishi Manzese.
Magonjwa Sugu ya Tandale ni Gono, Kaswende na Malaria tu ila kwa Manzese ni TB, UTI na UKIMWI kwa sana.
Tandale Kuchunguliwa wakati Unaoga ni Jambo la Kawaida ila kwa Manzese kupigwa Chabo ukiwa Faragha na Mwenza wako si jambo la Kuuliza au hata Kushangaa.
Kwa Mtu wa Kupenda Kujichanganya na kujua hadi Kuzoea Maisha na kuwa Mvumilivu Kimaisha na kwa Wanadamu wenzako maeneo yote haya Tandale na Manzese ni mazuri tu kwa Kuishi.
Binafsi napapenda pote tu Ndugu na nimepamisi mno hivyo nakushauri Kapange katika Nyumba iliyo mpakani mwa Tandale na Manzese.
Kote hapanaMmeshindaje ndugu zangu. Ikitokea ukaambiwa uchague sehem moja ya kuishi kati ya Tandale na Manzese ni wapi utapokuwa tayari kwenda kuishi? Na kwanini? Pia ningependa mtu au watu waeleze utofauti wa sehem hizo mbili ki miundo mbinu, kimazingira, kibiashara na pia sehem inayoongoza kwa kuwa na maeneo mengi ya kula bata. Karibuni!
Nashukur kwa ushaur wako mkuu.Ishi Tandale inayopakana na sinza kwa Kanumba utanishukuru
Ni wapi kuna kitimoto watamu mkuu kati ya sehem hizo mbili?Penye kitimoto tamu.
Siyo tandale uzuri ni manzese uzuri, Hivyo vyote ni vitongoji ndani ya manzese, manzese inapakana Sinza, mabibo, Ubongo Mwananyala, magomeni, na mbulahati.Hapana hizo sehemu ni mbili tofauti na kila moja inajitegemea. Ndo maana kuna Tandale yenyewe, tandale uzuri nk. Pia kuna manzese yenyew na hizo zingine ulizozitaja hapo juu.
Doh!! Nitakutafuta unizungushezungushe manzese kisha tandale,una experience ya kutosha sana inavyoonekanaTandale ni Makao Makuu ya Uchawi na Manzese ni Makao Makuu ya Ukabaji kwa Mkoa wa Dar es Salaam.
Tandale kuna Mbu wengi na Manzese kuna Inzi wengi hasa kwa Mkoa wa Dar es Salaam.
Malaya wa Tandale unaweza Ukawakopa ila wa Manzese Malipo Kwanza.
Uzuri wa maeneo yote Mawili Tandale na Manzese ni kwamba hata ukiwa tu na Tsh 1,000/= unaweza Ukala chakula na Ukashiba ila hakikisha tu Dawa za Flagili hakiko mbali nawe na hukai mbali sana na kilipo Choo.
Tegemea kukutana na Paka wengi wasiokuogopa Tandale na Kukutana na Mbwa wengi Manzese ambao hutowaona muda wote ila ule wako wa Kupika na Kula Chakula chako utawaona.
Tegemea kukutana na Mashabiki wengi sana wa Simba SC, Liverpool FC na Manchester United FC Tandale na wa Yanga SC, Arsenal FC na Manchester City FC Manzese.
Wana CCM wengi utawakuta Tandale na Wapinzani wengi ( hasa CHADEMA ) utakutana nao Manzese.
Kodi za Kupanga za Tandale ni Nafuu ila zina Masharti hasa hasa ukiwa Bachela ila Kodi za Manzese ni juu kidogo ila uzuri wake hupangiwi aina ya Mgeni wa Kumuingiza ndani mwako.
Maduka mengi ya Tandale Condoms ni adimu sana ila Maduka ya Manzese utazikuta nyingi mno.
Misiba mingi inapatikana Tandale ila Majeneza mengi yanapatikana na Kuuzwa Tandale.
Ukitaka ujue kuitafuta Pesa ishi Tandale ila ukitaka ujue Kuhonga vyema ishi Manzese.
Ukitaka kuyajua Matusi mapya kaishi Tandale na ukitaka kuyazoea yale uliyoyasikia tokea ukiwa Mdogo kaishi Manzese.
Magonjwa Sugu ya Tandale ni Gono, Kaswende na Malaria tu ila kwa Manzese ni TB, UTI na UKIMWI kwa sana.
Tandale Kuchunguliwa wakati Unaoga ni Jambo la Kawaida ila kwa Manzese kupigwa Chabo ukiwa Faragha na Mwenza wako si jambo la Kuuliza au hata Kushangaa.
Kwa Mtu wa Kupenda Kujichanganya na kujua hadi Kuzoea Maisha na kuwa Mvumilivu Kimaisha na kwa Wanadamu wenzako maeneo yote haya Tandale na Manzese ni mazuri tu kwa Kuishi.
Binafsi napapenda pote tu Ndugu na nimepamisi mno hivyo nakushauri Kapange katika Nyumba iliyo mpakani mwa Tandale na Manzese.
Mkuu big up sana umeelezea ukwl mtupu ila apa umekosea majeneza mengi yanauzwa manzeseMisiba mingi inapatikana Tandale ila Majeneza mengi yanapatikana na Kuuzwa Tandale.
Ni Tandale uzuri bhn mkuu pia kuna Tandale kwa Mtogole, kwa Tumbo, tanesco, sweet corner yote Tandale ukivuka ile barbara inyotokea sweet corner kwenda mbele uko ndo unakutana na ManzeseSiyo tandale uzuri ni manzese uzuri, Hivyo vyote ni vitongoji ndani ya manzese, manzese inapakana Sinza, mabibo, Ubongo Mwananyala, magomeni, na mbulahati.
Nafikiri lengo lake ilikuwa aandike manzese lkn kwa bahati mbaya imekuja tandaleMkuu big up sana umeelezea ukwl mtupu ila apa umekosea majeneza mengi yanauzwa manzese
Ehee ni kwl. Ila mkuu ni kwl unataka kuishi uko maan ata mm uwa nawish kwl nije nikae uswazi Zaid kama uko?Nafikiri lengo lake ilikuwa aandike manzese lkn kwa bahati mbaya imekuja tandale
Jamaa anaonekana sio mwenyej wa mkoa wa Dar, yeye amekuja tu na kuzikuta hizo sehem mbili zinapakana na kufanana aina ya style ya maisha basi akili yake ikamtuma kuwa zote hizo ni sehemu moja. Nimejaribu kumrekebisha kwenye post yang namb #20 lkn inaonekana bado hataki kuelewa, so nimemuacha. Kifupi mi mwenyew ni mzaliwa wa Kagera maeneo ya kimamba, kwahiyo nayafaham vizuri sana maeneo hayo.Ni tandale uzuri bhn mkuu pia kuna tandale kwa mtogole,kwa tumbo,tanesco, sweet corner yote tandale ukivuka ile barbara inyotokea sweet corner kwenda mbele uko ndo unakutana na manzese
Hapana kaka kuna mwana anatafuta chumba cha bei nafuu maeneo hayo. Kwahiyo nikaamua kuwashirikisha wadau katika hili.Ehee ni kwl. Ila mkuu ni kwl unataka kuishi uko maan ata mm uwa nawish kwl nije nikae uswazi Zaid kama uko?
Labda anachanganyikiwa na kanisa la wasabato pale tip linaloitwa manzese sda church..Jamaa anaonekana sio mwenyej wa mkoa wa Dar, yeye amekuja tu na kuzikuta hizo sehem mbili zinapakana na kufanana aina ya style ya maisha basi akili yake ikamtuma kuwa zote hizo ni sehemu moja. Nimejaribu kumrekebisha kwenye post yang namb #20 lkn inaonekana bado hataki kuelewa, so nimemuacha. Kifupi mi mwenyew ni mzaliwa wa Kagera maeneo ya kimamba, kwahiyo nayafaham vizuri sana maeneo hayo.
Ahaa uko kaka Maisha cheap sana yaan sema usalama sometime mdogo ukipita lile road linalotoka manzese darajana kuja sweet corner mida ya kuanzia saa5 tu utakutana na wahuni kibao one-day walinibananisha walikuwa kama 20 hv wakansukumiza mtalon wakanichukulia kibutton changu sema nkawafatilia nyuma nyuma wakanipa line yang nliwamind kinoma yaan.Hapana kaka kuna mwana anatafuta chumba cha bei nafuu maeneo hayo. Kwahiyo nikaamua kuwashirikisha wadau katika hili.