Kati ya Tandale na Manzese ni wapi unapoweza kuchagua kuishi?

Manzese ndo nilikokulia, uswahilini balaa. Unaanza kutafuta ukiwa na miaka 8....

Mbagala ndo nnakooshi....

Nalipa kodi ya nchi

Sivunji sheria

Usiku Mahaba kama kawaida.
Najiandaa kuwa mpangaji wako mwezi ujao.
 
Duh aisee.. hapa umeuwa mkuu!
 
Kote hapana
 
Hapana hizo sehemu ni mbili tofauti na kila moja inajitegemea. Ndo maana kuna Tandale yenyewe, tandale uzuri nk. Pia kuna manzese yenyew na hizo zingine ulizozitaja hapo juu.
Siyo tandale uzuri ni manzese uzuri, Hivyo vyote ni vitongoji ndani ya manzese, manzese inapakana Sinza, mabibo, Ubongo Mwananyala, magomeni, na mbulahati.
 
Doh!! Nitakutafuta unizungushezungushe manzese kisha tandale,una experience ya kutosha sana inavyoonekana
 
Siyo tandale uzuri ni manzese uzuri, Hivyo vyote ni vitongoji ndani ya manzese, manzese inapakana Sinza, mabibo, Ubongo Mwananyala, magomeni, na mbulahati.
Ni Tandale uzuri bhn mkuu pia kuna Tandale kwa Mtogole, kwa Tumbo, tanesco, sweet corner yote Tandale ukivuka ile barbara inyotokea sweet corner kwenda mbele uko ndo unakutana na Manzese
 
Ni tandale uzuri bhn mkuu pia kuna tandale kwa mtogole,kwa tumbo,tanesco, sweet corner yote tandale ukivuka ile barbara inyotokea sweet corner kwenda mbele uko ndo unakutana na manzese
Jamaa anaonekana sio mwenyej wa mkoa wa Dar, yeye amekuja tu na kuzikuta hizo sehem mbili zinapakana na kufanana aina ya style ya maisha basi akili yake ikamtuma kuwa zote hizo ni sehemu moja. Nimejaribu kumrekebisha kwenye post yang namb #20 lkn inaonekana bado hataki kuelewa, so nimemuacha. Kifupi mi mwenyew ni mzaliwa wa Kagera maeneo ya kimamba, kwahiyo nayafaham vizuri sana maeneo hayo.
 
Ehee ni kwl. Ila mkuu ni kwl unataka kuishi uko maan ata mm uwa nawish kwl nije nikae uswazi Zaid kama uko?
Hapana kaka kuna mwana anatafuta chumba cha bei nafuu maeneo hayo. Kwahiyo nikaamua kuwashirikisha wadau katika hili.
 
Labda anachanganyikiwa na kanisa la wasabato pale tip linaloitwa manzese sda church..
 
Kokote naishi kati ya hizo sehemu mbili.

Ila ikatokea ni lazima nichague nitaishi Manzese kwakua ni kama pana access nzuri na barabara kuzidi Tandale.

Ila kote vyura wa kwenda wanapatikana na mimi hayo ndiyo mambo yangu.
 
Hapana kaka kuna mwana anatafuta chumba cha bei nafuu maeneo hayo. Kwahiyo nikaamua kuwashirikisha wadau katika hili.
Ahaa uko kaka Maisha cheap sana yaan sema usalama sometime mdogo ukipita lile road linalotoka manzese darajana kuja sweet corner mida ya kuanzia saa5 tu utakutana na wahuni kibao one-day walinibananisha walikuwa kama 20 hv wakansukumiza mtalon wakanichukulia kibutton changu sema nkawafatilia nyuma nyuma wakanipa line yang nliwamind kinoma yaan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…