Kati ya Tandale na Manzese ni wapi unapoweza kuchagua kuishi?

Manzese ndo nilikokulia, uswahilini balaa. Unaanza kutafuta ukiwa na miaka 8....

Mbagala ndo nnakooshi....

Nalipa kodi ya nchi

Sivunji sheria

Usiku Mahaba kama kawaida.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bibi ktk ubora wako.
 
Duuuh uchambuzi murua na makini.
 
Wa mkoani tunaa comment wapi? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwann kaka?
Manzese na sehemu nyingine yaweza kuwa Bora kuishi IKIWA utatengeneza mazingira yako Bora na kuwa na mtazamo chanya na sehemu husika, ukija utanikuta pale manzese bakhresa wachafu camp nakunywa togwa ahaaaaaaaaaa.
 
Kila point noyoisoma nilikuwa namaliza na neno YES. Mkuu, unapafahamu fika
 
Mbona mie nayapenda sana, ila sijabahatika kuishi kulee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shukuru Mungu..ungezaliwa kule sa hv pengine ungekuwa teja au mcheza vigodoro
 
Tandale ni bora kulinganisha na Manzese. Tandale kuna mandhari nzuri, miundombinu bora, watoto wakali, machimbo ya madada zetu e.t.c

Manzese kuna wanawake wambea tu
 
Huko si ndio kwenye videmu vile vipaka ..akina mwajuma ndala ndefu...vichafu chafu ...manzese uwanja wa Fisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…